Mpangiliyo mzuri wa mavazi, utumiaji wa vipodozi na mapambo ndiyo katika
njia zinazotakiwa kimaadi zinatosha kumfanya mtu aonekane mrembo kama
vitamfanya awe na muonekano wa kupendeza na kuvutia.
Uzuri/ubaya wa sura haumati sana ktk hili, pia kuweka wazi sehemu za mwili wa zinazostahili kufunikwa siyo urembo.
Na kama ni kutoa sifa kwa wanaoweka sehemu za mwili wazi, hata mm nikisha weka roho ya tamaa za kimaumbile, hata mm nasifu.
Fahari ya macho haifilisi duka, au siyo?