Urembo

gwijimimi

JF-Expert Member
Sep 24, 2011
7,344
3,602
Hivi urembo wa mwanamke uko wapi??
Mpaka sasa ninachanganyikiwa kutokana na mambo yafuatayo;
1.Wengi wanadhani ni sura(hawa hawanipi shida,wamepotea njia)
2.Wengine wanachukulia kuwa ni sehemu za miili yao(wanawake wenyewe) kwa kufanya mambo haya:-
a) Kuvaa nguo zinazoacha sehemu zao za nyuma wazi
b) Kuacha sehemu za kitovu nje
c) Kuacha sehemu za kifua na kuachia uvimbe flani uonekane?
Hivi ndivyo walivyoambiwa kuwa urembo wao utaonekana????Ninge kuwa na Parental control ya mavazi ningei-activate,sijui wangekuja na ubunifu gani tena...!Hapo kuna wengine wanadai sehemu hii ya mavazi inaendana na wakati na sisi wenyemitazamo ya magauni tumebaki mamilioni ya kilometa toka wao walipo.Hivi ni ya kweli hayo?
Ninajua kuwa wengi wameamua kufuata style hiyo kutokana na kusifiwa kijinga kuwa wanamaumbo sawa na mtu flani maarufu ama kuwa wanapendeza wakivaa vile.
Ngoja na mimi nitafute ile ya kuyaanika maumbile yangu kwa mbele ili nisikie jibu litakalo toka midomoni mwa wengi.Moja wapo nionajua litakuwa "CHIZI HUYO".Chonde,hilo lisiwemo bali nitafutieni jingine kwani hilo tayari nimeishalikataa na halipo.
 
kazi ipo. kama sio sura au sehemu ya mwili toa jibu wewe huo urembo uko wapi coz hayo majibu umeyakataa bila kutoa sababu za msingi........! kama vipi tuseme urembo upo machoni pa mtazamaji tu.......
 
Mpangiliyo mzuri wa mavazi, utumiaji wa vipodozi na mapambo ndiyo katika
njia zinazotakiwa kimaadi zinatosha kumfanya mtu aonekane mrembo kama
vitamfanya awe na muonekano wa kupendeza na kuvutia.
Uzuri/ubaya wa sura haumati sana ktk hili, pia kuweka wazi sehemu za mwili wa zinazostahili kufunikwa siyo urembo.
Na kama ni kutoa sifa kwa wanaoweka sehemu za mwili wazi, hata mm nikisha weka roho ya tamaa za kimaumbile, hata mm nasifu.
Fahari ya macho haifilisi duka, au siyo?
 
Urembo w mwanamke awe na jicho la kurembua, chakula cha mtoto kilichodisa, hipsi na cha mwisho kabisa na cha muhimu MAVI!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom