watu wameshaikamata na kuitumia fursa ya wc.
Mkuu hivi hakuna matukio ya madume huko,hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
Sawa mkuu isije kuwa kuna upande unanyimwa mzukaaaaaaNgoja kwenye mechi ya badae kidogo tujipange tuone kama tunaweza pata vimbwanga vya midume tunalifanyia kazi ..
Nimeiona ya bendera ya Tanzania hapo juu. Safi sana imetokelezea vizuri sana