Kama aliziweka dawa mshauri akate aanze upya...na wewe sasa anaglia comment huko ujue atumie mafuta ganiJamani. Mi mke wangu akisuka nywele zinakatika usoni. Akiweka wigi zinaisha usoni. Akiachia tu zinaanza kuota.
Afanyeje maana nataka aonekane mrembo
Labda ngozi yangu ya kichwa laini kama ya mtt mn'gaaMmmh mkuu mbona waungua sasa na dawa ya nywele??
Sawa mkuuusiweke
Hahaha mkuu au unazipa dawa nywele ambazo ziko njema kiafya hazina madhara yoyote ya kiafya??Dawa ya nywele.....hahahaLabda ngozi yangu ya kichwa laini kama ya mtt mn'gaa
Hahaha mkuu au unazipa dawa nywele ambazo ziko njema kiafya hazina madhara yoyote ya kiafya??Dawa ya nywele.....hahaha
ila kweli hilo jini na mimi nahic unaloWeeee shindwa kabisaa huu mwili hata jini hasogei
Unanifahamu ww kiumbe??ila kweli hilo jini na mimi nahic unalo
Salam ndugu
Nna swali,ivi dread zikiwa nene na unataka kuzipunguza inawezekana? je nifanyaj dread zangu zimekuwa nene sana na nataka ziwe size ndogo