Urembo wa nyumba(Drumlin Contractors)

Urembo wa nyumba(Drumlin Contractors)

kintekunte

Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
31
Reaction score
91
Nyumba ni kitu muhimu sana katika maisha ya binadamu. Watuwengi wamwjitahidi kujenga nyumba nzuri lakini zimeshindwa kufikia ndoto zao kwa sababu ndogo ndogo zikiwemo Kipato duni, kutumia mafundi wasio bora, rangi wanazotumia na mambo mengine mengi tu.

KATIKA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO HIZI DRUMLIN CONTRACTORS WAMEKUJA NA SULUHISHO

1. TUTAKUJENGEA NYUMBA YA NDOTO YAKO KWA KULIPIA GHARAMA NUSU na kiasi kitakachobaki utalipia kwa instalment ndani ya muda tutakao kubaliana

2. TUNABALISHA MUONEKANO WA NYUMBA KWA KUJENGA AU KUPAKA UREMBO MARIDADI UTAKAO FANYA NYUMBA IONEKANE MPYA KABISA

3.TUNAFANYA FINISHING ZA NYUMBA KWA UBORA WA HALI YA JUU

4. TUNADESIGN NA KUTENGENEZA BUSTANI ZA AINA MBALIMBALI

5.TUNATOA USHAURI WA KITAALAM ILI KUIFANYA NYUMBA YAKO IONEKANE BORA ZAIDI


NOTE: BEI ZETU NI NAFUU SANA NA

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUTEMBELEE OFISINI KWETU KINDONDONI KARIBU KABISA NA LEADERS CLUB AU WASILIANA NASI KWA SIMU
+255 222 666 900
AU
+255 686 917148
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    8.7 KB · Views: 148
  • 2.jpg
    2.jpg
    58.8 KB · Views: 281
  • 444.jpg
    444.jpg
    38.9 KB · Views: 248
  • Living-Room-Interior-Design-with-Color-Paint-Accents.jpg
    Living-Room-Interior-Design-with-Color-Paint-Accents.jpg
    20 KB · Views: 180
  • images123.jpg
    images123.jpg
    9.1 KB · Views: 142
Hayo maurembo ni kama yapi(samples) na gharama zenu zikoje? Vp naona kazi zenu zinafanana na Jamaa wengine waliowahi kujitangaza humu na baadhi yake kwa hisani ya Google.
 
Back
Top Bottom