Je kama zipo kwenye CD lakini haziwezi kucheza kwani ina scratch ni software gani naweza kutumia ku-recover hizoTumia bitwar software, utapata zote
Heshima kwenu wana jf.
Ndugu zangu nilifuta video zangu kutoka kwenye pc. Nimetumia minintool recovery, recuva, easus data recovery mwisho wa siku nimeambulia kupata baadhi ya clips za video hii. Bila msaada kutoka hapa jamvini tutakutana kwenye jukwaa la sharia nikiomba ushauri wa kesi itakayokuwa inanikabili. Naomba mnisaidie sana. Any urgent assistance will be appreciable.
Msaada tafadhali. Ni harusi ya mtu
Vp ulifanikiwa?!Asante mkuu, ngoja niishushe, ntakupa feedback muda si mrefu