Uraisi wa Lissu bado tishio, Magufuli aongeza nguvu ya Prof Kabudi kiini cha mabadiliko

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Uchaguzi wa Tanganyiaka law society (TLS) umewanyima usingizi serikali na CCM; Haina namna walilijua mapema mwiba mchungu ni LISSU baada ya tafiti walijua angeshinda baada ya PLAN A Kushindwa wakaja na PLAN B ambayo ni uteuzi wa Professor Paramagamba Kabudi .

Najua bunge lijalo wansheria wote nguli TULIA AKSON, MWAKYEMBE -Ambaye ni mzoefu akisaidiwa na Prof Tishio mla Tundu Lissu, litakoma.

Nauona mwisho wa Tundu Lissu - mwanzo wa kustracture wanasheria wa serikali .
 
Uwaziri wa Kabudi ni wa kama Ndalichako, Mhongo ukiwaletea tu hawachelewi kubwaga manyanga
 
uchaguzi wa Tanganyiaka law society (TLS) umewanyima usingizi serikali na CCM; Haina namna walilijua mapema mwiba mchungu ni LISSU baada ya tafiti walijua angeshinda baada ya PLAN A Kushindwa wakaja na PLAN B ambayo ni uteuzi wa Professor Paramagamba Kabudi .

Najua bunge lijalo wansheria wote nguri TULIA AKSON, MWAKYEMBE -Ambaye ni mzoefu akisaidiwa na Prof Tishio mla Tundu lissu, litakoma.

Nauona mwisho wa Tundu lissu - mwanzo wa kustracture wansheria wa serikali .

Ukweli, haki na sheria vikisimama hakuna cha Kabudi wala Ackson wala Mwakyembe, TL ni gwiji period.
 
Ukweli, haki na sheria vikisimama hakuna cha Kabudi wala Ackson wala Mwakyembe, TL ni gwiji period.
TL kinachomsaidia ni ukritimba wa ajira uliokuwepo watu walikuwa wanaajiri watoto wao vilaza' Pro anakuja kufanya restucture kushirikiaana na kitengo cha UDSM; Best student wakiletwa serikalini . TLS nguvu na pumzi itakata tu
 
Utendaji wa Kabudi utakuwa sawa na akina Ndalichako,Tulia na wengine wa aina hiyo.Kichwani kwao lipo jambo moja tu wanalopaswa kukumbuka:Tenda kwa kumfurahisha Rais, vinginevyo utatumbuliwa.Usitarajie utendaji wa kujali maslahi ya jamii kutoka kwao,bali masilahi ya serikali na mkulu.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
TL kinachomsaidia ni ukritimba wa ajira uliokuwepo watu walikuwa wanaajiri watoto wao vilaza' Pro anakuja kufanya restucture kushirikiaana na kitengo cha UDSM; Best student wakiletwa serikalini . TLS nguvu na pumzi itakata tu
Utasubiri sana!
 
Anaweza kuwa gwiji wa sheria kuliko hata Lissu, sawa.. Tatizo kubwa mtu akishaingia huko ccm akili zake anaziacha mlangoni.. Na kwa muda wote anapokuwa ndani ya sisiem anapewa akili za kufikiri za kisisiem, ambazo ni uongo, utemi, kutokujali na kujitoa ufahamu..

Namuonea huruma Prof. anaenda kuidhalilisha taaluma yake na usomi..
 
TL kinachomsaidia ni ukritimba wa ajira uliokuwepo watu walikuwa wanaajiri watoto wao vilaza' Pro anakuja kufanya restucture kushirikiaana na kitengo cha UDSM; Best student wakiletwa serikalini . TLS nguvu na pumzi itakata tu

Mkuu, sio kweli kuwa umbumbumbu wa majukumu ndio tatizo kwa wanasheria wa serikali, tatizo ni kesi wanazopewa kusimamia.
 
Tundu lissu alishawabwaga walimu wake Tulia, na amesababisha mwalimu wake Mwakyembe aondolewe wizarani.Zamu ya kabudi kudhalilishwa
 
Mnaidhani Kabudu ataleta lolote jipya jifunzeni kwa Ayub Rioba, hakuna jipya atakaloleta zaidi ya kulamba viatu vya MFALUME J.U.H.A.
 
Mnaidhani Kabudu ataleta lolote jipya jifunzeni kwa Ayub Rioba, hakuna jipya atakaloleta zaidi ya kulamba viatu vya MFALUME J.U.H.A.
 
Ukweli, haki na sheria vikisimama hakuna cha Kabudi wala Ackson wala Mwakyembe, TL ni gwiji period.
Mbona anakimbiliaga bungen akikutana na tulia na kjja kulalamika nje kwa wananchi
 
Back
Top Bottom