C cheu yang Senior Member Mar 4, 2017 115 83 Mar 25, 2017 #1 habari wa JF URAISI ni nini? kwa mtazamo wangu naona uraisi ni taasisi wala sio mtu mmoja hivyo nawaomba wa jamvi mnisaidie hapa
habari wa JF URAISI ni nini? kwa mtazamo wangu naona uraisi ni taasisi wala sio mtu mmoja hivyo nawaomba wa jamvi mnisaidie hapa
habari ya hapa JF-Expert Member Dec 20, 2012 12,791 8,743 Mar 25, 2017 #2 Usaidiwe kuhusu nn? Kafanye kazi kijana