OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Sijaona alipomtaja Nape au macho yangu hayaoni vizuri? Hhahhaa!
Kweli kabisa?
Huyu Kibabu wa Shinyanga yuko kundi gani vile?
May be you are right and may be I am wrong!!
Nani asiyejua kuwa Khamis Mgeja ni mtumishi wa Edward Lowassa? Alichosema Nape kinawauma na ni kweli, kwa jinsi Watanzania walivyochoka na ufisadi, CCM ikifanya kosa kumteua mgombea urais ambaye hasafishiki hata kwa dodoki kama Lowassa basi ijue kuwa imekabidhi funguo za Ikulu kwa UKAWA.
Nape ni mhuni na mkora...... Walai jk asipoangalia chama kitamfia mkononi.... Please Mkapa, Mwinyi, Kingunge njooni muokoe chama.....
Majitu mengine yanakuwa akili choooni unafikili mgeja alichokisema ni uongo huyu nape analopoka lopoka sana kikao chachama kinasema hivi yeye anaongeza ya kwake mgeja kama wewe humjui sisi tunamjua haongopi mtu hapo katoa ukweli mtupu
Sijaona alipomtaja Nape au macho yangu hayaoni vizuri? Hhahhaa!
Timua Nape, Timua Membe, Timua Pinda... Hawa hawajui CCM ilikotoka bali wameigeuza Genge la Fitna na Majungu .. Nape kila akifungua kinywa chake lazima amchafue Lowassa! Sijui ilikuwaje hawa walio anzisha CCK waendelee kupeta ndani ya CCM... Soon kutakuwa na Vita vikali sana kati ya CCM halisi na CCM maslahi ... Nape ajiandae kufungasha Virago ... Makonda et al wajiandae kuadabishwa ndani na nje ya chama...
Hii ndiyo Bongo Darisalam...lol!
Ni kuganga njaa kwa kwenda mbele. Kwa haraka ya mshiko hata hakuwa na muda wa kuhariri taarifa yake!
Nape hana madhara.... Huyu sii ndiyo 2005 alisema Jakaya ana ngoma hawezi kuwa rais, leo mbana kabaki na aibu.... Shame on him..... Asante Mgeja kwa tamko lako.... Na Nec mume imara kabisa kabisa
Tusilaumiane,mbona yeye aliita wenzie Hisbu!