Sioni mantiki ya hiyo rufaa! Box la kura litaamua jamani.
Mh haya maisha bwana na je asingetangaza nia si kusingekuwako na hizi purukushani,serikali ina jukumu la kuelimisha raia wake juu ya haya,anyway time is the answer,
Sioni mantiki ya hiyo rufaa! Box la kura litaamua jamani.
Ni ajabu na aibu ya serikali ya ccm. Mkurugenzi ametupilia mbali pingamizi bila kufafanua au kuridhisha umma kwamba Siyoi Sumari ni Raia wa Tanzania. Itafikia mahali wageni wanakuja kujichotea uongozi bila kuhojiwa. Ninachokiona kwa ccm ni kuwa kama una pesa zako wewe ni kiongozi. Sijui ilikuwaje akina Azim Premji wakahojiwa uraia wakati mtu kama Siyoi hata ardhi ya Arumeru haijui.
ilikuwa siri kubwa sana ya serikali. Walitaka kunyamazia. Shukrani kwa RC wetu mpendwa. Alitusaidia kuuweka uhuni wa ccm ya Lowassa hadharani.upo sahihi kabisa lakini siku zote serikali walikuwa wapi?sio mpaka mtu atangaze anagombea nafasi fulani ndiyo historia iibuke wanatakiwa wajue tena kinachoonyesha kabisa uzembe ni pale serikali inayoongoza nchi hii haina habari juu ya hili hadi waambiwe au ni kuwapima wananchi?mi nafikiri ulegevu katika serikali ndio chanzo cha haya yote.
Hana mzazi mkenya... je aliupataje huo uraia?labda leo ndiyo kaukana uraia wa kenya. Na kama ndiyo kaukana leo sheria inasemaje kuhusu mtu aliyepewa uraia leo? Anatakiwa akae muda gani ndiyo aombe ridhaa ya wananchi?