ndetembea New Member Joined Jul 22, 2013 Posts 4 Reaction score 1 Jul 23, 2013 #1 Urafiki ni kitu muhimu sana. Kuna urafiki na uchumba, watu wengi huchanganya pamoja vitu hivi. Uchumba ni aina ya urafiki kati ya msichana na mvulana walio na matarajio ya kuoana.
Urafiki ni kitu muhimu sana. Kuna urafiki na uchumba, watu wengi huchanganya pamoja vitu hivi. Uchumba ni aina ya urafiki kati ya msichana na mvulana walio na matarajio ya kuoana.