kweli kuna watu wanajua fitina!.................. ,,,,, hii inafanana sana na michongo ya mawizarani ukipewa kitengo chenye ulaji halafu unakuwa mgumu kuachia issue basi inachezwa movie unapandishwa cheo, unafanyiwa pati kubwa ya kukuaga unahamishiwa mafia au pemba!