Urafiki na Pesa

bubo

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
45
Reaction score
32
Habarini wanajamvi.
Kuna aina nyingi sana za marafiki..na urafiki inategemea mmeonana vp siyo..sasa naomba kujua kwa nini kama una rafiki yako mlikuwa hamuongei habari za hela wala kukopeshana mkishashaanza hizo habari za kusaidiana(kukopeshana) akishindwa kukulipa urafiki unaishiaga hapo hapo?? what is the problem...

Kiukweli mimi wakati mwingine naona rafiki anahusika sana kuliko ndugu au mpenzi.je kuna means ya kumrudisha rafiki wa hivo....
 
ni heri kumkopa rafiki kuliko mpenzi au ndg. Na rafiki anaejali urafiki wenu hawezi kukudhulumu ila sema inapotokea akashindwa kukulipa kwa wakati ndo mizengwe inapoanzia hapo.
Kutokuliapana Pia inategemea na historia na umri wa urafiki wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…