Urafiki hadi ndoa

Huo urafiki unakaa mda gani sas ndo umwambie unampenda au ukishakua marafiki upendo unakuj automatic?
Ukitaka uharibu Mambo yako no kuwa na haraka. Urafiki na mwenzi wako mtarajiwa unatakiwa uchukue miezi sita Hadi mwaka ndipo utoe haja ya moyo wako kwa rafiki yako. Kwa utakuwa umemuelewa vizuri tabia yake
 
Unae mtu mmoja ambaye unamuita rafiki wa kweli kwako? Kama yupo basi kumbuka mlianzaje kuwa marafiki. Urafiki wa kweli huja/hutokea wenyewe wala hautengenezi mbinu ila flani awe rafiki yako. Ukifanya hivyo, basi urafiki utakuwa wa muda mfuoi sana, wala haudumu na utavunjika.

Urafiki wa mke unakuja baada ya kufanya maamuzi ya kumuoa. Akishakua mke mfanye awe rafiki, muishi kama marafiki.

NB. SI UCHUMBA WALA URAFIKI AMBAO UNAKUPA NDOA BORA. WENGINE WENGI NJIA HII AAMEPITA NA WAMEFELI VIBAYA.
 
Ukitaka uharibu Mambo yako no kuwa na haraka. Urafiki na mwenzi wako mtarajiwa unatakiwa uchukue miezi sita Hadi mwaka ndipo utoe haja ya moyo wako kwa rafiki yako. Kwa utakuwa umemuelewa vizuri tabia yake
Mda wote huo unasubir tu si utakuta njemba ingine imefanya yake au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…