Ur advice

Ur advice

de fcb1 fan

Member
Joined
May 20, 2013
Posts
14
Reaction score
2
Kuna dem nampenda sana aliwah kuwa du wa rafk yang na had xaiv nachat nae ila bdo:hajajua mi ninan sasa hapo wadau naombeni ushaur nifanyeje na dem namzimia sio kitoto
 
Nitumie nö za uyo duu nikurekebishie mambo!
Fanya ffffwastaaa!
 
Kuna dem nampenda sana aliwah kuwa du wa rafk yang na had xaiv nachat nae ila bdo:hajajua mi ninan sasa hapo wadau naombeni ushaur nifanyeje na dem namzimia sio kitoto

Mkuu lugha za face book zinapunguza mvuto wa hoja yako. Maamuzi ni yako kusuka au kunyowa, lakini fikiria rafiki

yako, itakuwaje atakapofahamu.

Kuna (dem) msichana nampenda sana aliwahi kuwa (du) Mpenzi wa (rafk) Rafiki yangu na hadi (xaiv) sasahivi 'nachati' nae ila bado hajajua mimi ninani, sasa hapo wadau naombeni ushauri nifanyeje na (dem) msichana nampenda sana. namzimia sio kitoto
 
We endelea kuchax naye dem afu umtell kabixa nini,mwambie unamzimikia kinyama mwambie na mshkaji kabixa kwamba du wake unamzimia afu uxilizie!
 
FRIENDS CODE😀ont ever date a girl whom your friend dated....
Kuna dem nampenda sana aliwah kuwa du wa rafk yang na had xaiv nachat nae ila bdo:hajajua mi ninan sasa hapo wadau naombeni ushaur nifanyeje na dem namzimia sio kitoto
 
Achana nae, we alikuwa wa rafiki yako, sasa wa nini huyo inaonyesha ww mwoga unataka vi2 rahisi rahisi,unaweza mwambia ukaingia aibu ya mwaka akikataa na kukutangaza.
 
Kuna dem nampenda sana aliwah kuwa du wa rafk yang na had xaiv nachat nae ila bdo:hajajua mi ninan sasa hapo wadau naombeni ushaur nifanyeje na dem namzimia sio kitoto

Ufanyaje? Si utafute wa kwako! Mbona misitu ya kuwapata ni mingi, si uingie msituni ujitafutie wa kwako mwenyewe? We mpaka usubiri mwenzio atafute na wewe ndo uje kuiba, umekuwa fisi? Endelea na ngoja rafikiyo akufume ndo utajua nini kilimtoa manyoya kanga!
 
Kuna dem nampenda sana aliwah kuwa du wa rafk yang na had xaiv nachat nae ila bdo:hajajua mi ninan sasa hapo wadau naombeni ushaur nifanyeje na dem namzimia sio kitoto

Majina ya vyuo vya ufundi yametoka! je umeyaxoma??
 
Back
Top Bottom