ngwayasalim
New Member
- Aug 8, 2025
- 1
- 1
Habari za mda huu wana JF,
Nilikuwa na swali kwa wajuzi wa upwork kuhusu hizi connect za kuombea kazi, mana nilijiunga upwork tarehe 13 mwezi uliopita ila sikubewa connect za kuanzia kama nilivyo fatilia kabla sijajiunga.
Sasa nilipowauliza wakasema watanipa tarehe 13 kama siku niliyo jiunga ila mpaka saiivi naona mawenge tu mana nikiingia kwenye connect kuna 0 ina iningia earn connect wameandika 10 available nakijaribu kuomba kazi connect inaonekama bado 0 sasa shida itakuwa nini wakuu?