mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 620
Nna zimbo toshelevu kukupigia mipande ya kiBarcelona !
Tatizo hua spendi baadae lawama!
"ooh mtoto mwenyewe hajafundwa!" n.k
Utan'ruhusu kwanza niparike test , nikijiridhisha Mkole/Unyago umetendewa haki ndo nakupea !
Sema neno ! Nichacharike ?
mkuu sasa hapo siutanisaidia kuonja?itakua noma huwa sinaga lawama wewe piga pande
Pole sana ngoja niongee na Paloma Lady doctor tuone watasaidiaje hataHabari wanajamvi kwanza poleni hang over za kuanzia jana na bado makamuzi yanaendelea.mimi tangu nimerudi kijiji hiki cha jfplus nimekua mpweke sana kila ninapojaribu kuangalia kimwana chakuopoa nakuta tayari nimali za watu.nimeona bora nijilipue natafuta kimwana aliyeko single ajitokeze kwa mume bora yuko hapa.ilatu asiwe mke wamutu sitaki kupigwa mapanga.mtalaka ruhsa karibuni au kama kuna mtu anajua kipo kigori sehemu hakijapata pete ya uchumba niagizie nikajitutumue

Ndo manaake!
Na kuonja kwenyewe si nakuonjea wewe Swahiba !
Zingatia bidhaa yenyewe si sabuni kusema itainkriz voluyum !
Najionjea , najiridhisha mziki unasomeka , nakubwagia .
Habari wanajamvi kwanza poleni hang over za kuanzia jana na bado makamuzi yanaendelea.mimi tangu nimerudi kijiji hiki cha jfplus nimekua mpweke sana kila ninapojaribu kuangalia kimwana chakuopoa nakuta tayari nimali za watu.nimeona bora nijilipue natafuta kimwana aliyeko single ajitokeze kwa mume bora yuko hapa.ilatu asiwe mke wamutu sitaki kupigwa mapanga.mtalaka ruhsa karibuni au kama kuna mtu anajua kipo kigori sehemu hakijapata pete ya uchumba niagizie nikajitutumue
Duh!
Pole..
Mmmh unatafuta kama unasasambua mitumba. pole weee.
Angalia ndugu huko vijijini hawarembi... vidume vya huko nouma sana chunga kifanyio chako kisijerudi andunje..!