Naomba nikushauri kitu panua wigo wa vigezoNimekua single kwa muda mrefu...nimechoka naitaji kupata mwenza anaejielewa
Mi ni ke naitaji mwanaume kwanza aishi kanda ya ziwa nimesema hivyo sababu Mimi naishi kanda ya ziwa.
Ni mrefu kiasi pia mweupe
Ni msukuma
Mwanaume naemuitaji awe na miaka kati ya 31-35.....
Mkuu umeona aongeze kidogo ka-umri asituache hivihivi? Jus ' kidding!Naomba nikushauri kitu panua wigo wa vigezo
.Usichague sana location
.umri ongeza mpaka 42
.mshirikishe Mungu pia
.Replies zenye kukera zikaushie kwakuwa wengine watakupima hekima yako hapo
Kwa leo ni hayo tu asante
Mkuu umeona aongeze kidogo ka-umri asituache hivihivi? Jus ' kidding!
Asante kakaNaomba nikushauri kitu panua wigo wa vigezo
.Usichague sana location
.umri ongeza mpaka 42
.mshirikishe Mungu pia
.Replies zenye kukera zikaushie kwakuwa wengine watakupima hekima yako hapo
Kwa leo ni hayo tu asante
Mh! Haya asante kwa kuchangiaJIBU MASWALI HAYA....KABLA WENGI HATUJAFANYA MAAMUZI YA KUTUMA MAOMBI YETU.
1- UNAHITAJI MWANAUME AU MUME?
2- RANGI YAKO KUWA NYEUOE INA UHUSIANO GANI NA HITAJI LAKO?
3- UREFU WAKO UNA UHUSIANO GANI NA HITAJI LAKO?
4- UMEULIZWA UNA MKIA?...NAMAANISHA TAKOOO LIPOOOO?..KUDHIBITISHA HILO..TUPIAMO KAPICHA BILA KUWEKA SURA UWE UMEPIGA MBELE SIDE NA NYUMA.
5- UNTUMIA MTANDAO PENDWAAA?..MAMBO YAKO YA KUSEMA SIJUI NAKAA MWANZA MARA SINYANGA SIO KIGEZO..NDEGE NA MAGARI YAPO WATU WATAKUFIKIA KAMA UNAVYO VIGEZO PENDWA NA VIJANA WA SIKU HIZI.
6- UMEWEKA UMRI WA UMTAKAYE..JE WEWE UMRI WAKO UKOJE?
7- BABA PITA YUKO WAPI? NA PITA NAYE YUKO WAPI?
8- UMEULIZWA KWANIN USIMTAFUTE BABA PITA?
9- SIE WAZEE KUANZIA MIAKA 45-60 NAFASI YETU IKO VIPI?...MAANA KWANGU WEWE BADO UTAKUWA GARI ZIMA ILI UNIVUTE MIE GARI BOVU...SASA UNAPOKIMBILIA MAGARI MAPYA HAYO YANAVUTA VITOTO VYA SHULE VYENYE MILK IS STANDING...WAKATI YOURS IS SLIPING.
10- UMEAMBIWA HAPO JUU KUWA WATU KAMA SIE USITUJIBU TUNAKUKATISHA TAMAA...ILA ELEWA VITU VIZURI VINAPATIKANA KWA TAABU NA GHARAMA KUBWA...JIBU MASWALI YANGU NIJIWEKE KWAKO MAANA HATA LADY JEI DII NAYE YUPO SOKONI...NADHANI UNAELEWA USHINDANI ULIVYO MKUBWA NA MGUMU.
Ulishawahi kuona yale mashindano ya miss bantu? Au Ulishawahi kusikiliza clip ya Sheikh kipozeo kuhusu neema za Allah?Mkia ndonn
Vigezo huna?Nimekua single kwa muda mrefu nimechoka naitaji kupata mwenza anaejielewa
Mi ni ke nahitaji mwanaume kwanza aishi Kanda ya ziwa nimesema hivyo sababu mimi naishi Kanda ya ziwa.
Ni mrefu kiasi pia mweupe
Ni msukuma
Mwanaume ninaemuhitaji awe na miaka kati ya 31-42.
umri punguza at least anzia 23 , kwa anayejielewa vijana damu zinachemkaNimekua single kwa muda mrefu nimechoka naitaji kupata mwenza anaejielewa
Mi ni ke nahitaji mwanaume kwanza aishi Kanda ya ziwa nimesema hivyo sababu mimi naishi Kanda ya ziwa.
Ni mrefu kiasi pia mweupe
Ni msukuma
Mwanaume ninaemuhitaji awe na miaka kati ya 31-42.