Wakuu napata tabu sana kwenye uchaguzi wa madirisha mazuri kwa ajili ya ujenzi wa makazi yangu,
naombeni uchambuzi wa kitaalamu ni nini tofauti ya haya madirisha?? Je na kwa bei ipi ni bei zaidi ya
nyenzake? Vipi kwenye ubora? Etc etc sehemu gani ni the best na affordable kupata hizi bidhaa...?
Jf is the home for great thinkers i believe i'll get all the answers here.
Welcome!!

- Wear and tear ya PVC ni muda mfupi zaidi kuliko alminium, na tena kama PVC ya China ndio balaa, kama ulichagua white profile, ndani ya miaka 5, inageuka cream, afadhali uchague PVC ya Uturuki, aluminium haibadiliki rangi kwa muda mrefu!
- Bei ya PVC ya ukweli, iko juu kuliko bei ya alumium ya ukweli!, ujio wa Mchina kwenye soko, umepelekea kupata very cheap pvc na very cheap aluminium, ushauri wangu, usikimbilie cheap just to save money, cheap is expensive, better go for a best quality hata kama zitakutoka
Pasco.
mkuu uko wapi kwani!? Nipm namba yako sisi tunafunga hizo alluminium kwa affordable price!!