Upuuzi wa kupiga chabo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upuuzi wa kupiga chabo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Pure Mathematics, Mar 9, 2012.

 1. P

  Pure Mathematics Senior Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamaa m1 ktk kijij flan alikua na tabia ya kupiga chabo madirishan kwa watu! Siku ya siku akapiga chabo kwenye dirisha flan ambalo ndan kulikua na wapenzi wanangonoka. Midadi ikampanda nae akawa anafata kila process, mwishoni akajikuta keshavua nguo na kuanza 'miguno' kama wanavyofanya wahusika! Jamaa kule ndani wakastuka wakasitisha zoezi, but mpiga chabo akaendelea na miguno ya hapa na pale. Mpenzi wa kiume akatoka nje amejifunga taulo huku mb** ikiwa haijalala. Mpiga chabo akastuka akaanza kukimbia akiwa ucha, jamaa nae akatoka nae nduki, taulo likamdondoka but hakujali. Spidi ilipokolea mpiga chabo akakanyaga mwiba bahati mbaya, kwa maumivu akainama ili achomoe mwiba. Laaahaula! Yule jamaa aliekua anamfukuza akajikuta amevamia 'saburi' la mpiga chabo kwa kuwa aliinama kutoa mwiba na "the dick" ikapenya direkt coz ilikua haija siz'. Ingekua wewe ndo mpiga chabo ungechomoa 'the dick' au mwiba..
   
 2. t

  thengoshahimself Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimecheka sana aisee.cwez kuwa mm sababu huwa cpig chabo
   
 3. Geraldo DaVinci

  Geraldo DaVinci JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 277
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  dah haya makubwa
   
 4. M

  Mashroud Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtt yake mav.
   
 5. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  hapa siwezi kuwa mimi hata siku moja, coz kupiga chabo wakati mwenzio anafanya mavituzi ni soo, ni mara kumi nikaangalie pilau
   
 6. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !

  Teh teh... x 1000
   
 7. dudupori

  dudupori JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Aluuuu huyu jamaa kiboko, anakimbiza mtu still mnara umecmama, atakuwa alikula kiagra sio bure.
   
Loading...