mimi sinta kujibu kwa matusi yako kijana,wanao sema ukweli nyie ccm mna waita wa puuzi anaesema ukweli na mkwepa ukweli nani mpuuzi? Tatizo la wana ccm ni kutokubali ukweli, wapi chadema imeleta vurugu? Kama sio jeshi lenu la polisi? Kudai haki na kulinda mafisadi ni lipi vurugu? Nani asiyejua hila zilizo fanywa na ccm tangu lema aliposhinda arusha? Jibu narudia tena asiye mwana arusha asiisemee arusha wana arusha wanajua mbinu zote na hila za ccm kuifanya arusha isitawalike na kuisingizia chadema kama unabisha subiri tarehe 30 wana arusha watau dhiirishia uma ccm kwisha arusha,
Matukio mengi ya vurugu, umwagaji damu na uhalifu yanaihusisha chadema mf ni la kibanda na la tindikali igunga
Katibu wa chadema mkoa wa kinondoni yuko jela kwa kumwagia mtu tindikaliMkuu PRINCE CROWN,
Yote uliyoyasema ndiyo ukweli wenyewe, kwakweli hali ya ccm Arusha ni tata kabisa. Kuna wagombea udiwani wa ccm walikuwa wanajiunga na chadema tarehe 18, bahati yao polisi walivuruga mkutano kwa kupiga mabomu!
CCM hata waje na mapanga nasema tutalinda kura hakuna utani.
Pinda amewapa mamlaka polisi kuwapiga raia, maana yake ni kwamba raia nao wamepewa kibali cha kujitetea! Arusha hatutishwi na Pinda wala mama yake na nani
Katibu wa chadema mkoa wa kinondoni yuko jela kwa kumwagia mtu tindikali
Kwanza nenda shule ukajifunze kuandika jambo na kulipa shape ya kueleweka kwa wasomi na waelewa,nashukuru umesema una uelewa mdogo,lakini ndani ya CHADEMA kuna waelewa wengi tena chuo kikuu,jitahidi wakati mwingine waone wakusaidie ku-shape stori yako then leta humu.Humu kuna Great Thinkers kibao sasa unapokuja na uelewa wako mdogo unazidi kujiaibisha pamoja na kwamba una jambo muhimu!
La pili sikiliza wewe Dogo mwenye uelewa Mdogo,hakuna ubishi kwamba Chadema inakubalika Arusha,na hakuna Ubishi kwamba Chadema haiongozi Arusha,hilo liko wazi na kwa watu wenye akili kubwa na uelewa kama sisi tunalitambua hilo,isipokuwa tatizo ni kwamba hakuna amani Arusha.
Kwa maelezo yangu hapo juu na kwa nguvu iliyonayo CHADEMA mjini Arusha nilitegemea sana kupata matokeo chanya na viongozi wake walipaswa kutumia mwanya huo kuliweka jiji la Arusha katika ramani nzuri kwa sababu kuna faida nyingi kwenye jiji hilo na moja kubwa ni kwamba ni jiji linaloingilika sana na wageni kutoka nje ya nchi,sasa wangetumia kuweka kila kitu sawa ikiwa ni pamoja na siasa zake zinazoongozwa na Chadema ili wageni wapate la kusema.
Kibaya sana na kinachonishangaza ni kiwamba kila vurugu na mauaji ya watu ni lazima zitokee kwenye mkutano wa chadema,ok.yawezekana ni wapinzani wao CCM ndio wanaowafanyia hivyo ili waonekane wana vurugu,lakini kwa sababu kuna watu wengi ndani ya Chadema ni Great Thinker walipaswa kubadili mbinu na kutumia mbinu nyingine katika kufanya siasa zao.
Leo hii hata wageni wanaobahatika kuingia Arusha na kushuhudia matukio hayo,wanaondoka na sura kwamba Chadema ndio wakiorofi.nasema sipendi,sipendi sipendi kabisa.
hii ni sehemu ya taarifa ya jukwaa la wahariri kuhusu kutekwa kibanda chadema imehusikaKibanda alitekwa na vijana wa Mwigulu.
Mwangosi aliuawa na Policcm.
Arumeru ccm waliua
Igunga vijana wa mwigulu walimwagia tindikali kijana wa watu, leo Mwigulu kamfanya kimbola.
Chadema ingemdhuru mtu leo hii wangekuwa wanaozea jela.
CCM nawachukia kutoka moyoni
Watu wabaya sana nyie, kwann mlitaka kumuua mamake zitto kwa bastola???Ndiyo propaganda zenu mnataka kui qualify. Haki haijawahi kushindwa na dhuluma hata siku moja!
Kileo amekamatwa kwa hila ili kuiaminisha umma uwongo wenu na hila. Mtawakamata wengi kwa hila lakini nakuambia mwishobwa yote ni chadema washindi
Ccm ndio baba wa demokrasia tanzania na afrika
Kwanza nenda shule ukajifunze kuandika jambo na kulipa shape ya kueleweka kwa wasomi na waelewa,nashukuru umesema una uelewa mdogo,lakini ndani ya CHADEMA kuna waelewa wengi tena chuo kikuu,jitahidi wakati mwingine waone wakusaidie ku-shape stori yako then leta humu.Humu kuna Great Thinkers kibao sasa unapokuja na uelewa wako mdogo unazidi kujiaibisha pamoja na kwamba una jambo muhimu!
La pili sikiliza wewe Dogo mwenye uelewa Mdogo,hakuna ubishi kwamba Chadema inakubalika Arusha,na hakuna Ubishi kwamba Chadema haiongozi Arusha,hilo liko wazi na kwa watu wenye akili kubwa na uelewa kama sisi tunalitambua hilo,isipokuwa tatizo ni kwamba hakuna amani Arusha.
Kwa maelezo yangu hapo juu na kwa nguvu iliyonayo CHADEMA mjini Arusha nilitegemea sana kupata matokeo chanya na viongozi wake walipaswa kutumia mwanya huo kuliweka jiji la Arusha katika ramani nzuri kwa sababu kuna faida nyingi kwenye jiji hilo na moja kubwa ni kwamba ni jiji linaloingilika sana na wageni kutoka nje ya nchi,sasa wangetumia kuweka kila kitu sawa ikiwa ni pamoja na siasa zake zinazoongozwa na Chadema ili wageni wapate la kusema.
Kibaya sana na kinachonishangaza ni kiwamba kila vurugu na mauaji ya watu ni lazima zitokee kwenye mkutano wa chadema,ok.yawezekana ni wapinzani wao CCM ndio wanaowafanyia hivyo ili waonekane wana vurugu,lakini kwa sababu kuna watu wengi ndani ya Chadema ni Great Thinker walipaswa kubadili mbinu na kutumia mbinu nyingine katika kufanya siasa zao.
Leo hii hata wageni wanaobahatika kuingia Arusha na kushuhudia matukio hayo,wanaondoka na sura kwamba Chadema ndio wakiorofi.nasema sipendi,sipendi sipendi kabisa.
tatizo chadema wanaona kama wao wameshushwa na mungu ili waiongoz nch kwa mabavu.4get tht bado wachanga sana.
katibu wa chadema mkoa wa kinondoni yuko jela kwa kumwagia mtu tindikali
HAIWEZEKANI,babayako anaweza kuwa baba wa democrasia ILA sio ccm
Umekomaa kweli kujijibu mwenyewe kwenye thred yako. Hadi sasa una post zaidi ya 25 peke akoserikali inayosema wananchi wake wapigwetu je iyo siyo serikali ya mabavu?
machadema hayatufai tanzania.
umekomaa kweli kujijibu mwenyewe kwenye thred yako. Hadi sasa una post zaidi ya 25 peke ako
Kwanza nenda shule ukajifunze kuandika jambo na kulipa shape ya kueleweka kwa wasomi na waelewa,nashukuru umesema una uelewa mdogo,lakini ndani ya CHADEMA kuna waelewa wengi tena chuo kikuu,jitahidi wakati mwingine waone wakusaidie ku-shape stori yako then leta humu.Humu kuna Great Thinkers kibao sasa unapokuja na uelewa wako mdogo unazidi kujiaibisha pamoja na kwamba una jambo muhimu!
La pili sikiliza wewe Dogo mwenye uelewa Mdogo,hakuna ubishi kwamba Chadema inakubalika Arusha,na hakuna Ubishi kwamba Chadema haiongozi Arusha,hilo liko wazi na kwa watu wenye akili kubwa na uelewa kama sisi tunalitambua hilo,isipokuwa tatizo ni kwamba hakuna amani Arusha.
Kwa maelezo yangu hapo juu na kwa nguvu iliyonayo CHADEMA mjini Arusha nilitegemea sana kupata matokeo chanya na viongozi wake walipaswa kutumia mwanya huo kuliweka jiji la Arusha katika ramani nzuri kwa sababu kuna faida nyingi kwenye jiji hilo na moja kubwa ni kwamba ni jiji linaloingilika sana na wageni kutoka nje ya nchi,sasa wangetumia kuweka kila kitu sawa ikiwa ni pamoja na siasa zake zinazoongozwa na Chadema ili wageni wapate la kusema.
Kibaya sana na kinachonishangaza ni kiwamba kila vurugu na mauaji ya watu ni lazima zitokee kwenye mkutano wa chadema,ok.yawezekana ni wapinzani wao CCM ndio wanaowafanyia hivyo ili waonekane wana vurugu,lakini kwa sababu kuna watu wengi ndani ya Chadema ni Great Thinker walipaswa kubadili mbinu na kutumia mbinu nyingine katika kufanya siasa zao.
Leo hii hata wageni wanaobahatika kuingia Arusha na kushuhudia matukio hayo,wanaondoka na sura kwamba Chadema ndio wakiorofi.nasema sipendi,sipendi sipendi kabisa.
Hapo kwenye RED unamaanisha nini CDM inafanya siasa kwa kuitisha mikutano na mikutano hiyi ndo inavamiwa na Polisi na kushambuliwa kwa Risasi na Mabomu sasa wewe ulitaka wafanyeje au ulitaka wawe wanalihutubia Taifa kupitia TV kama anavyofanya Rais kila mwisho wa mwezi?Kwanza nenda shule ukajifunze kuandika jambo na kulipa shape ya kueleweka kwa wasomi na waelewa,nashukuru umesema una uelewa mdogo,lakini ndani ya CHADEMA kuna waelewa wengi tena chuo kikuu,jitahidi wakati mwingine waone wakusaidie ku-shape stori yako then leta humu.Humu kuna Great Thinkers kibao sasa unapokuja na uelewa wako mdogo unazidi kujiaibisha pamoja na kwamba una jambo muhimu!