PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,182
Kwanza nenda shule ukajifunze kuandika jambo na kulipa shape ya kueleweka kwa wasomi na waelewa,nashukuru umesema una uelewa mdogo,lakini ndani ya CHADEMA kuna waelewa wengi tena chuo kikuu,jitahidi wakati mwingine waone wakusaidie ku-shape stori yako then leta humu.Humu kuna Great Thinkers kibao sasa unapokuja na uelewa wako mdogo unazidi kujiaibisha pamoja na kwamba una jambo muhimu!
La pili sikiliza wewe Dogo mwenye uelewa Mdogo,hakuna ubishi kwamba Chadema inakubalika Arusha,na hakuna Ubishi kwamba Chadema haiongozi Arusha,hilo liko wazi na kwa watu wenye akili kubwa na uelewa kama sisi tunalitambua hilo,isipokuwa tatizo ni kwamba hakuna amani Arusha.
Kwa maelezo yangu hapo juu na kwa nguvu iliyonayo CHADEMA mjini Arusha nilitegemea sana kupata matokeo chanya na viongozi wake walipaswa kutumia mwanya huo kuliweka jiji la Arusha katika ramani nzuri kwa sababu kuna faida nyingi kwenye jiji hilo na moja kubwa ni kwamba ni jiji linaloingilika sana na wageni kutoka nje ya nchi,sasa wangetumia kuweka kila kitu sawa ikiwa ni pamoja na siasa zake zinazoongozwa na Chadema ili wageni wapate la kusema.
Kibaya sana na kinachonishangaza ni kiwamba kila vurugu na mauaji ya watu ni lazima zitokee kwenye mkutano wa chadema,ok.yawezekana ni wapinzani wao CCM ndio wanaowafanyia hivyo ili waonekane wana vurugu,lakini kwa sababu kuna watu wengi ndani ya Chadema ni Great Thinker walipaswa kubadili mbinu na kutumia mbinu nyingine katika kufanya siasa zao.
Leo hii hata wageni wanaobahatika kuingia Arusha na kushuhudia matukio hayo,wanaondoka na sura kwamba Chadema ndio wakiorofi.nasema sipendi,sipendi sipendi kabisa.

Chukua mavi changanya na mkojo ...korogaaaa saaaana halafu weka kwenye darubini na upime then utajionea ugonjwa ulionao
nimeongea na machalii wa A town wanasema arusha ni yao mgeni anayekimbia kwa sababu za kukosekana kwa utulivu kunakosababishwa na ccm kung'ang'ania dola hakubadilishi msimamo wao juu ya arusha yao, ni jukumu la wageni ikiwemo ccm kuwaheshimu wao kwanza ndipo waikodolee macho arusha yenyewe.
maoni yao;
hata mkitega au kurusha mabom elfu kwa mkutano wa CDM, hawata acha kuhudhuria mikutano ya CDM.
Hata mkiihusisha vipi CHADEMA na uhalifu wa ccm, CHADEMA ndicho chama tunakiunga mkono mwanzo mwisho, inyeshe mvua liwake jua.
"MUNGU hanywi chai"
kwanza nenda shule ukajifunze kuandika jambo na kulipa shape ya kueleweka kwa wasomi na waelewa,nashukuru umesema una uelewa mdogo,lakini ndani ya chadema kuna waelewa wengi tena chuo kikuu,jitahidi wakati mwingine waone wakusaidie ku-shape stori yako then leta humu.humu kuna great thinkers kibao sasa unapokuja na uelewa wako mdogo unazidi kujiaibisha pamoja na kwamba una jambo muhimu!
La pili sikiliza wewe dogo mwenye uelewa mdogo,hakuna ubishi kwamba chadema inakubalika arusha,na hakuna ubishi kwamba chadema haiongozi arusha,hilo liko wazi na kwa watu wenye akili kubwa na uelewa kama sisi tunalitambua hilo,isipokuwa tatizo ni kwamba hakuna amani arusha.
Kwa maelezo yangu hapo juu na kwa nguvu iliyonayo chadema mjini arusha nilitegemea sana kupata matokeo chanya na viongozi wake walipaswa kutumia mwanya huo kuliweka jiji la arusha katika ramani nzuri kwa sababu kuna faida nyingi kwenye jiji hilo na moja kubwa ni kwamba ni jiji linaloingilika sana na wageni kutoka nje ya nchi,sasa wangetumia kuweka kila kitu sawa ikiwa ni pamoja na siasa zake zinazoongozwa na chadema ili wageni wapate la kusema.
Kibaya sana na kinachonishangaza ni kiwamba kila vurugu na mauaji ya watu ni lazima zitokee kwenye mkutano wa chadema,ok.yawezekana ni wapinzani wao ccm ndio wanaowafanyia hivyo ili waonekane wana vurugu,lakini kwa sababu kuna watu wengi ndani ya chadema ni great thinker walipaswa kubadili mbinu na kutumia mbinu nyingine katika kufanya siasa zao.
Leo hii hata wageni wanaobahatika kuingia arusha na kushuhudia matukio hayo,wanaondoka na sura kwamba chadema ndio wakiorofi.nasema sipendi,sipendi sipendi kabisa.
ccm ndio baba wa demokrasia tanzania na afrika
Chadema wamemwagia mtuvtindikali igunga, wanatembea na sumu hadi bar, wanapanga mikakati ya kulisha watu sumu na kutishia vikongwe kwa bastola.mimi sinta kujibu kwa matusi yako kijana,wanao sema ukweli nyie ccm mna waita wa puuzi anaesema ukweli na mkwepa ukweli nani mpuuzi? Tatizo la wana ccm ni kutokubali ukweli, wapi chadema imeleta vurugu? Kama sio jeshi lenu la polisi? Kudai haki na kulinda mafisadi ni lipi vurugu? Nani asiyejua hila zilizo fanywa na ccm tangu lema aliposhinda arusha? Jibu narudia tena asiye mwana arusha asiisemee arusha wana arusha wanajua mbinu zote na hila za ccm kuifanya arusha isitawalike na kuisingizia chadema kama unabisha subiri tarehe 30 wana arusha watau dhiirishia uma ccm kwisha arusha,
Kumwagia watu tindikali na kupanga kulisha watu sumu ndio ukombozi wa chadema??kulinda wezi na mafisadi kumilikisha rasili mali wageni na kusafirisha twiga nje ndio demokrasia ya ccm?
nimeongea na machalii wa a town wanasema arusha ni yao mgeni anayekimbia kwa sababu za kukosekana kwa utulivu kunakosababishwa na ccm kung'ang'ania dola hakubadilishi msimamo wao juu ya arusha yao, ni jukumu la wageni ikiwemo ccm kuwaheshimu wao kwanza ndipo waikodolee macho arusha yenyewe.
Maoni yao;
hata mkitega au kurusha mabom elfu kwa mkutano wa cdm, hawata acha kuhudhuria mikutano ya cdm.
Hata mkiihusisha vipi chadema na uhalifu wa ccm, chadema ndicho chama tunakiunga mkono mwanzo mwisho, inyeshe mvua liwake jua.
"mungu hanywi chai"
kumwagia watu tindikali na kupanga kulisha watu sumu ndio ukombozi wa chadema??