Wakuu habari zenu na poleni na majukumu ya kujenga Taifa letu...
Kwa muda mrefu nimefikiria kama Chadema kweli kikichukua nchi japo ni(Ndoto ya mchana)kinaweza kuwa na Mawaziri japo wa 5 wenye uwezo wa kuliongoza Taifa hili,ukimuondoa Mh.Zitto, Tundu Lissu na Mnyika.
Kiukweli Chadema inahitaji kuwa na Ombwe la viongozi kama hadi Sugu anakuwa Waziri kivuli? Sio kutegemea umaarufu wa wasanii + kupenda fujo ambazo hazina kichwa wala miguu ndo kuja kupata wafuasi. Taifa litapotea kuwa na viongozi wavuta Bang.i, Wapiga Disco na wengine wengi.
NAWASILISHA WAKUU,,MATUSI SIO LUGHA YA MSTAARABU.