Haina madhara yoyote kwa baadae?
Sawa mkuu
Asante mkuuVyakula tuu na mazoezi...
Punguza (Wacha kabisa kula vyakula via wanga, sukari, soda...chochote chenye sugar content)
Ongeza kula proteins na Healthy fat kwa wingi...
Testosterone night hormone na hormone zote ni Protein based....Ongeza vyakula via Protein
Nimeitumia hii. Daaah, maisha haya.
Uli observe madhara yake ni nini kaka?Nimeitumia hii. Daaah, maisha haya.
Mtoa mada jitahid kwenye vyakula zaidi. Tafuta wataalamu wa lishe wakushauri.
I'll be back
Binafsi sikuona madhara.Uli observe madhara yake ni nini kaka?
Na what about the results?Binafsi sikuona madhara.
Nilitumia kwa siku 30 tu.
I'll be back
+ve as expected.Na what about the results?
Thank you...+ve as expected.
Ilikua mubyeee kabisa
I'll be back
Mkuu kuhusu Testosterone haiwezi kuongezwa na na Vyakula vya Protein.Vyakula tuu na mazoezi...