Kama Dada yangu amekosa mchumba ni heri nimuoe mimi mwenyewe kuliko kumposa kwa Teja kama TID, ni aibu kubwa kwa Familia.
Wakisikiaga show Ulaya mpaka makalio yanawacheza kumbe hawajui Mapromota wenyewe wamepigika na wanawaita wao ili wapige pesa na wawageuze mtambo wa kuzalisha pesa.
Ukitaka kuamini maneno yangu ukikutana na Juma Nature na Inspecta Haroun waulize watakueleza hili vizuri, nilikutana nao hawa London Juma Nature alikimbia UK siku chache tu baada ya kuwasili na kumuacha Inspecta Haroun peke yake, watu wanasikia upo Ulaya kumbe ushuzi mtupu bora hata aliyekwenda kufanya show Kahama Shinyanga anaweza kupiga pesa za waruga ruga.
its happen the same kwa huyu Kilaza TID, kaacha bingo ya Jide kwa ushamba wa kupanda ndege na kwenda kupigwa na baridi then you get nothing mbulula kabisa.