Upumbavu wa Teja TID huu hapa, hii ni kama laana kutoka kwa Jide!!

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
55,779
90,504
Kwanza kingereza kibovu kama hiki huko UK sijui ataongea na mzungu gani waelewane, labda kama anashinda na watu wa East Africa tu.

996180_10151721020352642_2072660616_n_66d3d.jpg

Mwanamuziki TID ambaye yuko nchini UK kwenye tour iliyoandaliwa na Victor DJRule BongoUk amefunguka leo kupitia ukurasa wake wa facebook na kumshtumu promoter huyo aliye mleta nchini huma kuto kumlipa baada ya kufanya show kama walivyo kuwa wamekubalina.

TID ameandika kifuatacho:
My mind is not some stupid promota is trying to rob me,am not goin to let it happen am calling my balozi why a Kenyan artist hajamzingua......ndo maana hatuendelei
 
tid anaitaji msaada hajui alitendalo,kavurugwa,kadata,kachizika na atakumbuka mkwanja wa show ya jide kunanae zake ...
 
Hivi kumbe kaenda kufanya shoo nje ya nchi....si alisema yuko busy na mambo yake ya kuoa?
 
Hivi kumbe kaenda kufanya shoo nje ya nchi....si alisema yuko busy na mambo yake ya kuoa?
Kama Dada yangu amekosa mchumba ni heri nimuoe mimi mwenyewe kuliko kumposa kwa Teja kama TID, ni aibu kubwa kwa Familia.

Wakisikiaga show Ulaya mpaka makalio yanawacheza kumbe hawajui Mapromota wenyewe wamepigika na wanawaita wao ili wapige pesa na wawageuze mtambo wa kuzalisha pesa.

Ukitaka kuamini maneno yangu ukikutana na Juma Nature na Inspecta Haroun waulize watakueleza hili vizuri, nilikutana nao hawa London Juma Nature alikimbia UK siku chache tu baada ya kuwasili na kumuacha Inspecta Haroun peke yake, watu wanasikia upo Ulaya kumbe ushuzi mtupu bora hata aliyekwenda kufanya show Kahama Shinyanga anaweza kupiga pesa za waruga ruga.

its happen the same kwa huyu Kilaza TID, kaacha bingo ya Jide kwa ushamba wa kupanda ndege na kwenda kupigwa na baridi then you get nothing mbulula kabisa.
 
Show zenyewe wanaoenda wale wabongo tu pale au watu wa east africa,halafu hata hazina mshiko kama za bongo ila wakianza kutangaza wanaenda ulaya utadhani madili makubwa

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
How comes aandike english mbaya namna hyo while amefika hadi form 6?
 
Kama mnajua ni teja na mnauhakika basi mumsaidie kabla hayajamkuta kama mwenzake mliemzika juzi.Akisha kufa mtaanza ohh tulijua kitambo kuwa anatumia,!!mpeni hata ushauri unatosha
 
Dully alisema wazi hawezi kwenda nje kwenda kuimba kwe vyumba au kuimba kwenye besidei...TID umeingizwa uk kama hauna nauli ya kurudi weka acc # usaidiwe
 
ila tusiwe na wasi waliberali wamejaa huko lazima atapata tu nauli ya kurudi bongo land.
 
hahahaha tid ana fanya watu ni wajinga kama yeye? ina maana alikwenda bila mkataba? huu ni utoto kabisa ina maana alishindwa kabisa kupata haki zake huko u.k sasa akazitafuta kwenye fb?

Si ni huyu t.i.d aliyesema atakuwa na show na atakuwa busy kwaajili ya ndoa yake? Ni wazi hii show ya bure aliikubali mwenyewe sasa anatafuta pakutokea.

kuna msanii mmoja alikuwa ana hojiwa na kituo fulani cha tv akasema alishhuhudia msanii mkubwa nchini akimbembeleza promota kuwa anataka aende UK akapige show hata ya bure lakini huyo msanii hakumtaja jina na uzurihata aliye angalia kile kipindi alijua kabisa anaye ongelewa ni T.I.Dkabisa maana jamaa ali act hadi madoido yake hadi mtangazaji akamshitukia kabisa.

sasa hili tukio la kupigishwa show bure kinyume na makubaliano linanifanya ni kumbuke yaliyo sema wiki mbili zilizo pita.

Ni wazi madai ya t.i.d yanatia shaka kabisa labda kama ni bubu, angesema amepewa pesa ndogo ninge muelewa lakini swala la kupiga show bure ni wazi alikubali mwenyewe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom