Tanzania raia wote wako huru na wanapata haki zao kwa kujibu wa sheria. Mtu anayedhani Tanzania inahitaji kupigania uhuru ni mpumbavu.
We ni MPUMBAVU TUU.Tanzania raia wote wako huru na wanapata haki zao kwa kujibu wa sheria. Mtu anayedhani Tanzania inahitaji kupigania uhuru ni mpumbavu.
We ni MPUMBAVU TUU.View attachment 1591059
Hivi waliomuua Mawazo R.I.P. 2015 walishajulikana?We ni MPUMBAVU TUU.View attachment 1591059
Umenena vema, natamani Watanzania wengi iwezekanavyo wajitambue.Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Safari ya kudai uhuru na haki hazijawahi kuwa rahisi. Uliza kote Duniani si Afrika kusini wala Palestina. Si Belarus wala Venezuela.
Kina Mandela waliitwa magaidi. Kama wanavyoitwa hivyo leo HAMAS au hata Watalibani.
Panakutofautiana kwingi kunakoweza kutokea njiani na hata baina ya washirika. Lakini yote kheri, hasa adui rasmi anapokuwa tayari anafahamika vilivyo.
Kamanda Mbowe, kamanda Lissu na makamanda wote tumewasikia katika huu ukakasi wa kamati hii ya nani hii. Wengine japo kwa shingo upande tumekubali kulifunika kombe ili mwana kharamu ajipitie zake.
Hata hivyo ni muhimu mkatambua makamanda wetu, maamuzi batili batili haya dhidi ya haki na uhuru wetu hayatavumuliwa hivi siku zote.
Kama ilivyo kwa vijana wa ANC ambao subira ilishafika mwisho, mmekuwa kama ilivyo kuwa kwa akina Chris Hani, Winnie, Cyril Ramaphosa na Mandela waliokuwa na uwezo pekee wa kuwatuliza vijana wale wakatulia japo kwa shingo upande.
Mbowe na Lissu mko na imani yetu.
Kukiri upungufu ni kitendo cha maendeleo:
Tulikuwa tayari kulianzisha kama walivyolileta.
Si kwa sababu ya udhalimu wetu bali katika kwa kupigania haki na uhuru wetu zinazozidi kukanyagwa katika hali isiyoweza kuvumilika.
Mbowe, Lissu msituangushe.
Hii iwafikie vilivyo wahusika wote.
Kuchezea haki na uhuru wetu ni kucheza na hewa tunayopumua.
Acheni urofa wenu, hao wote uliowasema ni wale waliotawala mataifa mengine sasa hapa Tanzania ni nani wa taifa lingine ambae antawala hapa tz na mnaemdai uhuru?Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Safari ya kudai uhuru na haki hazijawahi kuwa rahisi. Uliza kote Duniani si Afrika kusini wala Palestina. Si Belarus wala Venezuela.
Kina Mandela waliitwa magaidi. Kama wanavyoitwa hivyo leo HAMAS au hata Watalibani.
Panakutofautiana kwingi kunakoweza kutokea njiani na hata baina ya washirika. Lakini yote kheri, hasa adui rasmi anapokuwa tayari anafahamika vilivyo.
Kamanda Mbowe, kamanda Lissu na makamanda wote tumewasikia katika huu ukakasi wa kamati hii ya nani hii. Wengine japo kwa shingo upande tumekubali kulifunika kombe ili mwana kharamu ajipitie zake.
Hata hivyo ni muhimu mkatambua makamanda wetu, maamuzi batili batili haya dhidi ya haki na uhuru wetu hayatavumuliwa hivi siku zote.
Kama ilivyo kwa vijana wa ANC ambao subira ilishafika mwisho, mmekuwa kama ilivyo kuwa kwa akina Chris Hani, Winnie, Cyril Ramaphosa na Mandela waliokuwa na uwezo pekee wa kuwatuliza vijana wale wakatulia japo kwa shingo upande.
Mbowe na Lissu mko na imani yetu.
Kukiri upungufu ni kitendo cha maendeleo:
Tulikuwa tayari kulianzisha kama walivyolileta.
Si kwa sababu ya udhalimu wetu bali katika kwa kupigania haki na uhuru wetu zinazozidi kukanyagwa katika hali isiyoweza kuvumilika.
Mbowe, Lissu msituangushe.
Hii iwafikie vilivyo wahusika wote.
Kuchezea haki na uhuru wetu ni kucheza na hewa tunayopumua.
Wewe ndiye mpumbavu kabisa!We ni MPUMBAVU TUU.View attachment 1591059
Hivi waliomuua Mawazo R.I.P. 2015 walishajulikana?