Upragade Android Version

Asante kaka kwa maelezo mazuri sasa nifanyeje iwe android 6 kaka
 
Asante kaka kwa maelezo mazuri sasa nifanyeje iwe android 6 kaka
Simple tu, unatakiwa kwanza kabisa uwe na hata idea ya kuflash simu, pili unatakiwa u backup stock rom ya hiyo simu yako in case mambo yakienda vibaya una reinstall stock rom yako kuponesha simu.. (Hapa ni muhimu sana kuzingatia)


Then unatakiwa upate custom recovery ya hiyo simu zipo nyingi tu mtandaoni huko, then una flash mpaka hapo unakua umekaribia kumaliza zoezi, then uta download custom roms zako unazopenda kisha tia kwenye memory card utaflash kupitia recovery mode!

Mambo mengi kiasi sijaelezea ila kidogo umepata mwanga nini kinafanyika. Uko wapi kwani? Kama upo kanda ya ziwa nitafute nikufanyie hiyo kazi freely ndani ya lisaa tu itakua tayari au komaa na tutorials za Google utaelewa pia ni rahisi.
 
Mkuu jipinde hata laki na themanini uchukue infinix au tecno yenye android 9 na kuendelea
Kweli at least ajichange kidogo achuke hata Infinix, 200k+ hawezi kosa simu ya kukidhi tatizo lake.
 
Well kaka nipo mbeya lakini kwa hii fadhila ntakutafuta niinbox hata namba yako walahi hutojuta kuunganisha urafiki na mimi
 
hapa ndio huwa tunapendekeza watu wanunue simu za apple.

simu iliyotoka 2011 ni iphone 5&5c inafanya vingi tu isipokuwa twitter na app nyingine zisizo muhimu sana ila basic zote poa.
 
Wakuu nimekua nikitumia android 4.4.2 kwa sasa sina hela ya Surplus ili ninunue sim ya android ya juu zaidi

Msaada kama naweza upgrade my phone at least kua android 5 au 6 mana mambo yangu mengi yanakwama kwa hii version nilionayo
4.4.2 leo 2021 September
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…