Upoyoyo wa DC wa Tabora

MwanaMagongo

Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
76
Reaction score
47
Bw Komanya Kitwala na akili za kuharibiwa na upofu wa madaraka. Alitumika kwenye kura za maoni baada ya mzigo kupewa yeye agawie wajumbe kwa ujira wa Tsh 60m Lengo likatimia.

Sasa kajisahau anawapanda kichwani hadi viongozi wa chama ambao wangemlinda, kasababisha sasa jimbo wanajitwalia CDM aisee, ila safi tu.

Sasa naona chama kimeamua kumshughulikia sasa, na wanyamwezi na ushamba wa kutishwa na cheo (cheo chenyewe DC)

Julai 2018 alikoswakoswa na walinzi wake FFU eti kawazimia taa za nje akatoka ana tambaa eti akawashtukize wanasinzia Lindoni, walitaka Kumuua hivhivi, sasa anaujaribu moto wa viongozi. Wacha tusubiri

Ulimbukeni unamsumbua sana, eti ooh nafahamiana na Bashiru Ally tulihakiki wote mali za chama. Walihakiki ndo kina Albert Msando na wametulia Itakuwa wewe kibeku
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…