utingo, huyu lowassa kiukweli hakustaafu, hata bungeni wakati ule anaachia madaraka kama w/mkuu, alisema anajiuzulu kwa kashfa ilompata, kustaafu inatokea endapo kiongozi ametumikia ktk wadhifa fulani kulingana na muda maalumu uliowekwa kisheria. ova