Baba Vladmir
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 413
- 725
Ukiangalia madhara mengi ya kiafya kwa watu,mengi pia yamesababishwa na matumizi ya dawa za kizungu,mfano antibiotic nyingi zina tabia ya kufeli na kusababisha usugu katika ugonjwa,madawa ya uzazi kww wanawake wengi yanawaacha wakigugumia na shida,lakini ndo hivyo tunaacha vya kwetu tunasifu vya wale,mbaya zaidi ukiongea mitishamba unaweza kuonekana unapotosha au umepitwa na wakati!! Kazi kwelikweli.Hawata kuelewa mkuu ni sawa na mtu kukuambia chanjo ya corona ni mbaya wazungu wanania mbaya na waafrika alafu muda huo anatumia ARV za wazungu hii ndo Afrika[emoji3064]
Mfumo wa elimu ya kikoloni bado ni changamoto kubwa Sana hasa kwa watu wa Afrika kukubali uhalisia wao shida kubwa ni kutokukubali vya kwetu na kuona vya wazungu ni bora zaidi mkuuUkiangalia madhara mengi ya kiafya kwa watu,mengi pia yamesababishwa na matumizi ya dawa za kizungu,mfano antibiotic nyingi zina tabia ya kufeli na kusababisha usugu katika ugonjwa,madawa ya uzazi kww wanawake wengi yanawaacha wakigugumia na shida,lakini ndo hivyo tunaacha vya kwetu tunasifu vya wale,mbaya zaidi ukiongea mitishamba unaweza kuonekana unapotosha au umepitwa na wakati!! Kazi kwelikweli.
ilo nalo nenoTatizo fani ya uganga wa asili nayo imeingia utapeli siku hizi. Kumjua wa kweli na mdanganyifu iko kazi!
Ni kweli watu wanatapeliwa sana na hata wao wanatapelika! Mtu unatafuta dawa ya nguvu za kiume eti unapewa dawa ya kupaka wakati nguvu za kiume ni suala la mfumo,badala ya kujitibu unaendelea kufurahia muda mfupi huku ukijimaliza kabisa!ilo nalo neno
Binafsi sikumbuki mara ya mwisho kutumia kidonge ama sindano ni lini...! Na niko fiti kuliko maelezo.Hapa nimetoka kupiga mti shamba mmoja kwa ajili ya tumbo kujaa gesi. Umenisaidia sana
Wasingekuaminisha hivyo unazani hizo dawa zao wangemuuzia nani? Mind controlNi matumaini yangu kuwa M/Mungu ametuamsha salama!
Kuna baadhi ya watu wanapotosha juu ya dawa asili za mitishamba,wanajaribu kuaminisha kuwa ni mbaya na zinaweza kuwa na madhara.
Kuna dawa za mitishamba zinatibu magonjwa mengi sugu na yaliyoshindikana na zimezibitishwa na mamlaka husika na zikakubalika kutumika kwa ajili ya kuponya uhai wa watu.
Binafsi nasema tuache kufikria vitu kwa ujumla maana haiwezekani Mkemia athibishe dawa halafu wewe ukatishe watu tamaa kuwa zina madhara.
Dawa za mitishamba side effect yake ni ndogo ukilinganisha na madhara ya hizi dawa za kizungu,na hata aina nyingi ya sample za mitishamba unapoipeleka maabara kuthibitishwa 99 asilimia huuonekana clean kabisa.
Ushauri wangu ni kuwa,unapopata dawa ya mitishamba kwa ajili ya kuingia kinywani mwako,hakikisha imechunguzwa,kukubalika na kusajiliwa na mamlaka husika kuwa itumike kutibu tatizo hilo.Ila kwa wale mnaopenda za wamasai shida ndiyo inaanzia hapo maana kuanzia maandalizi yake,utunzaji na uhifadhi wake ni hafifu sana na mara nyingi hazina vipimo,so kuwa makini.
Mitishamba ni mizuri sana katika kupambana na magonjwa sugu hasa yale ya kimfumo wa maisha kama moyo,kisukari,presha,figo nk.Jambo mhimu ni kutafuta mazingira sahihi kama unahitaji tiba za mitishamba siyo holela holela!
Happy uhuru day!!
Uko vizuri sana Mkuu,kitu kimetwama safiii mpaka raha.kuna watu wamehangaika miaka mingi na wamepita hosp za kila aina bila suluhisho lakini wamepona na wakapata faraja kupitia mitishamba!! Sisi tutaendelea kutumia vya kwetu na wao waendelee kuamini na kutumia vya wale.....kichekesho ni kuwa wanapoathirika na hayo ya kizungu ndo wanaanza kulialia kupata msaada kule ambako waliamini ni ujinga!!Kamwe siwezi kuacha asiliView attachment 2038134