Baba Vladmir
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 408
- 708
Ni matumaini yangu kuwa M/Mungu ametuamsha salama!
Kuna baadhi ya watu wanapotosha juu ya dawa asili za mitishamba,wanajaribu kuaminisha kuwa ni mbaya na zinaweza kuwa na madhara.
Kuna dawa za mitishamba zinatibu magonjwa mengi sugu na yaliyoshindikana na zimezibitishwa na mamlaka husika na zikakubalika kutumika kwa ajili ya kuponya uhai wa watu.
Binafsi nasema tuache kufikria vitu kwa ujumla maana haiwezekani Mkemia athibishe dawa halafu wewe ukatishe watu tamaa kuwa zina madhara.
Dawa za mitishamba side effect yake ni ndogo ukilinganisha na madhara ya hizi dawa za kizungu,na hata aina nyingi ya sample za mitishamba unapoipeleka maabara kuthibitishwa 99 asilimia huuonekana clean kabisa.
Ushauri wangu ni kuwa,unapopata dawa ya mitishamba kwa ajili ya kuingia kinywani mwako,hakikisha imechunguzwa,kukubalika na kusajiliwa na mamlaka husika kuwa itumike kutibu tatizo hilo.Ila kwa wale mnaopenda za wamasai shida ndiyo inaanzia hapo maana kuanzia maandalizi yake,utunzaji na uhifadhi wake ni hafifu sana na mara nyingi hazina vipimo,so kuwa makini.
Mitishamba ni mizuri sana katika kupambana na magonjwa sugu hasa yale ya kimfumo wa maisha kama moyo,kisukari,presha,figo nk.Jambo mhimu ni kutafuta mazingira sahihi kama unahitaji tiba za mitishamba siyo holela holela!
Happy uhuru day!!