mzaramo tutafasirie ulichoandikaDuuuh.kuna choni ano.
Ova zaramo empire nawasilisha
Kuacha huko dharau labda waaziache kuzimu huko.waache dharau siku nyingne..
Nakubaliana na wewe mkuiPale unaweza kuruhusiwa kuingia bila muongozaji? Sijaona muongozaji akitajwa na yeye kupotea.
Ndani ya hayo mapango kuna eneo lazima utembelee magoti na unapita mtu mmoja mmoja. Kuna giza wakati wa mchana, sijui usiku inakuaje.
Kuna shimo ukifika sehem wanasema ndio inaaminika hao wazungu walipotelea hapo huku wengine wakidai linatokezea Kilimanjaro.
Hii habari imeghubikwa na sintofaham nyingi sana.
Hii ndio sahihiHii historia niliisikia zamani wakisema mbwa alionekana Mombasa