Habari za saizi naimani mko poa kama ID yangu inavyo jieleza niende kwenye mada last year nilikuwa nasoma kwenye collage flani mbeya sasa kulitokea upotevu wa vyeti vilipo kuwa vinaenda kuhakikiwa wizarani kwa walivo dai ko wakafuatilia wizarani na walifuata hatua zote mwaka huu vimekuja vyeti mbadala ila tatizo ni kuwa zile serial namba za vyeti cha kwanza na vilivo kuja saizi hazifanani sasa nauliza he ni kawaida au chuo wamefanya ujanja kutupa vyeti ambavyo havijatoka necta. Nategemea msaada wenu