Upotevu wa hela CBE Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upotevu wa hela CBE Dodoma

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Magarinza, May 24, 2009.

 1. M

  Magarinza Senior Member

  #1
  May 24, 2009
  Joined: May 9, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Habari nilizonazo kutoka chuo cha biashara (CBE) Dodoma zinabainisha kuna wizi wa juu wa kiasi cha tshs 7mil za serekali ya wanafunzi wa chuoni hapo.

  Juma tano ya wiki hii bunge la wanafunzi katika chuo hicho lilipitisha azimio la kuundwa tume huru ili ichunguze ni wapi hasa pesa hizo zilipelekwa.

  Taarifa kutoka chuoni hapo zinaonyesha fedha hizo zilitumiwa na viongozi waliomaliza muda wao March 2009.

  Inaonesha fedha hizo zimetumika pasipo vielelezo vyovyote vinavyoonesha zilitumiwa kufanyia shughuli gani.
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mbegu ya ufisadi ikianza kwa wanafunzi..je hawa wakiwa viongozi baadae mustakbali wa taifa utakuwaje?
   
Loading...