Miwivu tu inakusumbua.......katafute wa kwakoAkili pekee isiyo sanjarika na zungusho la "Nyonga" misifa camp anayokupa usingeiona!
Miwivu tu inakusumbua.......katafute wa kwako
Shida una watch afu hubweki !
Unategemea nini! Ukija anza bweko, banga linaungua! Afu unajifanya hujui Mamndenyi alishanishawishi nimnunulie kiwanja , na nikakinunua! Wkt na mzigo sijapeleka pwani!
Mchaga mwizi huyu sipati picha!
Ondoa msononeko.....mie huyo sina hata hiyana
Baba VNakuja kukupa kazi ya kufanya afu utalala tena sana...
aione chama..
Shida una watch afu hubweki !
Unategemea nini! Ukija anza bweko, banga linaungua! Afu unajifanya hujui Mamndenyi alishanishawishi nimnunulie kiwanja , na nikakinunua! Wkt na mzigo sijapeleka pwani!
Mchaga mwizi huyu sipati picha!
Baba V
Acha kuuchimba angalia sana umri umekupita vidonge vya blue vina madhara; chunga sana usilazimishe watu kulala matanga; kimwana hawezi kulala amezoe kuwa ubavuni kwangu nipo safari kikazi hamu zote za Mamndenyi zitakwisha jumamosi; nakushangaa sana mtu umezoea kula mizoga ya uwanja wa fisi eti leo unajinadi unataka kula vitu vyenye viwango Baba V umekutwa na masahibu gani?? unatamani kula nyama wakati kibogoyo ulipokuwa na meno ulikuwa wapi?? lahaulla!!!

We ongea sana weee...! siku akizaa katoto kakamanda kanatoka kametanguliza vidole viwili ndo utajua kuwa ng'ombe hazeeki maini. We lalalala tukufanyie kazi.
c.c Mamndenyi ..
Aaaah bwana we acha tu.. Nimeamua kukaa kimya si unajua tena utu uzima dawa, ingekuwa enzi zangu zile pangechimbika...... watu wanavutia ngozi kwao ...Baba V mbona nakusamamba sana sikupati !
Nway hebu niondolee shangazo , ule uzi wako wa jana kuhusu kumpachika somebody mimba ulitowekaje ghafla cc pasipo any details ?
Love you too bby
Yaan nimekumiss balaa my Lady doctor
Hebu nipigie basi km Arushaone kaenda nyumba ndogo
Baba VWe ongea sana weee...! siku akizaa katoto kakamanda kanatoka kametanguliza vidole viwili ndo utajua kuwa ng'ombe hazeeki maini. We lalalala tukufanyie kazi.
c.c Mamndenyi ..
Hivi we kijana huwa unapotelea wapi?uliona nilivyopost kwa raha eeh