Upo Ngara sehemu gani, Rulenge, Kabanga, Bugarama au Kabanga?
Huyo katibu mkuu wa NCCR (Sam Luhuza) hana mizizi huko kwao?nipo nyamiaga
Huu ni mwaka wa 23 sasa toka Tanzania iingie katika mfumo wa vyama vingi lakini wilayani Ngara imeonekana mfumo huu ulichelewa kuingia. Lakini kiukweli mambo yalivyo uchaguzi ujao Chadema wanabeba
Upo Ngara sehemu gani, Rulenge, Kabanga, Bugarama au Ngara mjini?