Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,475
- 33,038
Hello JF,
.ili upinzani kushinda ni lazima waonyeshe wananchi kwa nini wao{Upinzani} ni bora Zaidi ya serikali iliyopo...
Kwa vile mikutano ya kisiasa imekatazwa mpaka wakati wa uchaguzi…..
Hii imeweka mazingira magumu kwa wao kuonyesha mipango yao…...
kuwafikia wananchi wote ambao wangekuwa informed kutokana na hio mikutano hio ya siasa,...
na hivyo ku make decision kuchagua upinzani,hii ni ngumu kwenye climate iliyopo sasa hivi...
Sasa basi mie nimeona tufanye mikutano ya kisiasa 'kidigitally' ...
Nimeona statistics zinaonyesha half of Tanzanian population now have access to internet na trend is going upward,
Who knows baada ya miaka mitano sita iliyobaki ya Magufuli, watu wenye internet watakua 75% au 80% ya watu wote wa Tanzania...
Don't you think this is one area that should be invested on???
Upinzani{especially Lissu coz he is influential),wangekua na 'App' yao inayo update sera zao daily,na pia kusikiliza watu wa kawaida wanasema nini,na vipi matatizo yao...
Kusikiliza watu wanasema nini,wapi serikali ya sasa imeshindwa kutekeleza expectations zao,hii itakua kama Muongozo wa nini wakipigie mkazo kwenye uchaguzi ujao……………….
Nimeona pia website ya Chadema imepooooza...lol,
Mngeweka viwango vya JF ingechangamka na kuwa chanzo cha mabadiliko...
ikiwezekana mu ajiri watu professional kwa ajili ya kuendeleza website yenu..
Muwe na jumatano njema,
Becky.