Upinzani vipaumbele vyao ni nini hasa?

Marco Polo

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
11,742
18,479
Naona Sheria Za Ajabu Ajabu Na Kandamizi kwa Wanyonge Zinapitishwa Tena Bila Kipingamizi Chochote....Mnyika wher ar u bro...Zito Kabwe...Halima Mdee And the likes....Ina Maana Hiz Sheria Zinazopitishwa Huko Bungeni hamzioni ama nn?....Toka Ameondoka Dr Slaa Upinzan umekosa dira kabisa wamebaki kuendeshwa NA matukio NA kufuata upepo tu unapoelekea.......We Mic U Father Slaa.
 
Huyu anasikilizia upepo tuu, nahisi haelewi hata alichoandika. Ukute hata jimboni kwake mbunge sio wa upinzani hadi madiwani na wenyekiti wa mtaa.
 
Huyu anasikilizia upepo tuu, nahisi haelewi hata alichoandika. Ukute hata jimboni kwake mbunge sio wa upinzani hadi madiwani na wenyekiti wa mtaa.
Hakuna upinzan Tz sasa mnataka live coverage ya bunge ili iweje muuze sura tu Hanna lolote la maana
 
Zipo sheria ndogondogo zinapitishwa halmashaurini tena za kodi na ushuru,tozo[whatever] mbona hazilalamikiwi mnyika na gibson nani kwenye maisha haya?
 
Hakuna upinzan Tz sasa mnataka live coverage ya bunge ili iweje muuze sura tu Hanna lolote la maana

Kumbe ndo ilikuwa hoja yako!!
Umejizunguuusha kujichosha bure tu ungeropoka tangu mwanzo eti hakuna upinzani then ulale ungeeleweka zaidi.
Hivi huko unakoishi Sukari inauzwa 1,000 au huwa hamtumii kabisa hii bidhaa
 
Back
Top Bottom