Ukweli ni kuwa kumbe Punda unaweza kumulazimisha kutembea ila huwezi mulazimisha kunywa maji.
Watu huwa wana lugha za mioyoni
Kweli watanzania wanasita kujiandikisha kunani?
Hali hii inaweza zidi mwakani ,uchaguzi mkuu watu wakipata vitambulisho vya utaifa,vya kupiga kura ,hawatajali ,vitambulisho vya kupiga kura tena.
Taifa linahitaji hamasa mpya
Viongozi waruhusu Upinzani ilikujipa uhalali wa kutawala
Itafika mahali ,kiongozi anatawala miti,anahutubia punda ,wasio sikia
Tanzania bado ni njema mwalimu aliijenga ,Tuwatake, viingozi wapya waijenge Tanzania .isije tokea unaipenda Tanzania lakini yenyewe inakuchukia.
Taifa litafakari ,Uandikishaji ,umeongea ndani ya mioyo ya watanzania kunajambo in common si jema