Kawaida ya mtu mwenye suaga za kijinga, hawezi kutulia na kupangilia ujinga wake. Mada kama hizi zinatupotezea muda sana.Sijakuelewa, hebu tulia na uandike vizuri mkuu
Huenda una hoja nzuri sana lakini umeshindwa kueleza ubovu wa BVR. Ninavyofahamu ni kwamba BVR itatumika katika kuandikisha wapiga kura tu, haitatumika kuhesabu kura au kazi yoyote kwenye kituo cha kupiga kura.Hilo unalozungumzia la kuiba kura naomba ulifafanue ili niwajulishe wahusika waanze kujiweka sawa kukabiliana nalo.Uchaguzi mkuu unakaribia huu mfumo wa BVR ambao utatumika,upinzani usipokaa vizuri kura zitaibwa vizuri tu! kwa hiyo Upinzani ujipange
Kawaida ya mtu mwenye suaga za kijinga, hawezi kutulia na kupangilia ujinga wake. Mada kama hizi zinatupotezea muda sana.
Huenda una hoja nzuri sana lakini umeshindwa kueleza ubovu wa BVR. Ninavyofahamu ni kwamba BVR itatumika katika kuandikisha wapiga kura tu, haitatumika kuhesabu kura au kazi yoyote kwenye kituo cha kupiga kura.Hilo unalozungumzia la kuiba kura naomba ulifafanue ili niwajulishe wahusika waanze kujiweka sawa kukabiliana nalo.
Uchaguzi mkuu unakaribia huu mfumo wa BVR ambao utatumika,upinzani usipokaa vizuri kura zitaibwa vizuri tu! kwa hiyo Upinzani ujipange
Huu mfumo si wakuandikisha wapga kura tu bali hata upigaji kura kama ilivyokuwa kenya. Katika uchaguzi wa kenya palikuwa na madai kuwa tume iliseti baadhi ya kura zisionekane kwa mfano kila baada ya watu wawili anaefuata taonekana hajapiga.Kuna ujanja wa kuifanya mashine ishindwe kufanya kazi maeneo yenye wapinzani wengi unakuta inazimazima hadi mnakata tamaa jamaa ana hoja
Uchaguzi mkuu unakaribia huu mfumo wa BVR ambao utatumika,upinzani usipokaa vizuri kura zitaibwa vizuri tu! kwa hiyo Upinzani ujipange