gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,045
Kweli nchi hii watu hawajitambui wako wametulia tu wanataka wengine wawapiganie kwa jasho na kumwaga damu na hata vifo lakini wao wanapata viyoyozi tu maofisini, lakini wakiambiwa tukapigania haki wanasema siyo wanasiasa ila matunda ya haki hizo wanataka kula! Aibu sana hiiWapinzani nao ni binadamu wanatetea watu ambao hawajitambui na hawapati support yoyote kutoka kwa watetewa, bora wakae kimya.