wamepanda lakini tulitegemea wabunge wa kuchaguliwa wasiwe chini ya 120 kwa kwa wana UKAWA
Vyama vinavyounda UKAWA vimefanikiwa kuongeza majimbo ya ushindi ktk uchaguzi wa mwaka huu au vimepoteza?
Matokeo ya 2010
Chadema wabunge wa kuchaguliwa 23 viti maalum 25. Jumla 48.
Cuf wabunge wa kuchaguliwa 24 viti maalum 10. Jumla 34.
Nccr kuchaguliwa viti 4 viti maalum 0
2015
Chadema wanategemewa kupata viti kati ta 33 na 35 vya kuchaguliwa. Viti maalum vitakuwa at least 30.
Cuf around 32 kuchaguliwa na around 15 viti maalum.
Nccr 1
Piga mahesabu ujue wamepanda au kushuka.
Ili uwe objective toa takwimu za Magufuli na KikweteDr,slaa aliongeza wabunge zaidi ya 20, lowasa ameongeza wabunge 11 ,hii ni pamoja na kuwepo kwa ukawa ,big politician mwenye ushawishi mkubwa kama ED ,kwangu mim naona ni kama msuli tembo ,majibu sisimizi
Maradufu wapi wewe,Wakati huo huo unasahau CCM wana ongezeko la Kura takribani milion 3.Kama DK slaa 2010 alipata kura Milioni mbili kapata viti maalum 25, lowasa kapata kura milioni sita...ni ongezeko maradufu
Ili uwe objective toa takwimu za Magufuli na Kikwete
Kabisa, umesema la maana!Slaa angegombea mwaka huu mbali ya kupoteza majimbo ya kanda ya ziwa UKAWA pia wasingepata majimbo ya Monduli,Longido, Simanjiro,Arumeru Magharibi na Siha.Haya majimbo yana wamasai wengi na walikuwa watiifu kwa CCM lakini waliamua kumfuata Lowassa. Kanda ya ziwa walipiga kura kwa ukanda kwa kuwa Magufuli anatoka huko hivyo ilikuwa vigumu sana UKAWA kutetea majimbo ya kanda ya ziwa.