Hawaitani waheshimiwa lakini wanaheshimiana sana.
Yaani kitendo cha mbunge mmoja kusema Trump anapelekeshwa na mtu mwingine. Mbunge mwingine amelaani kuwa hilo ni tusi kwa Trump. Jinsi wanavyoheshimiana.
Bunge la Tanzania lina wabunge wanatumia lugha za mitaani mpaka spika kuitwa fala.
"Strange accuses Moore of making ‘insulting’ comments on Trump" - Washington Post.