Upinzani ni hatari

Sawasawa aisee, ushinda wa siasa ni muhimu mno!, wanaofanya juhudu za kumaliza upinzani wafilie mbali huko.
 
Endelea kujitutumua na hicho kiinglish chako. Wewe ni kichekesho.

Ubaya hujui ndio mana unashindwa kuelewa. Hv unaelewa lugha gani nikueleze ama ndio na mpigia mbuzi gita acheze.
 
Ubaya hujui ndio mana unashindwa kuelewa. Hv unaelewa lugha gani nikueleze ama ndio na mpigia mbuzi gita acheze.
Wewe kinyago afadhali sasa umeamua kuandika kwa lugha ya Taifa. Kiingereza hukiwezi hata kidogo. Acha kujifanya mjuaji. Badala ya kuendela kutetea ujinga wako ni vyema ukatafakari ni wapi unapokosea. Hii itakusaidia hapo baadae.
 
Hivi wewe Mwaipungu ni wa wapi wewe, mbona unawafedhehesha kina Mwa, kiingereza gani hicho?
 
Endelea kujitutumua na hicho kiinglish chako. Wewe ni kichekesho.

kwakweli humu ndani kuna vivutio vingi sana. mkuu Rungu unapoteza muda wako kumwelekeza mtu ambaye hajui kama hajui hayo anayoamini anayajua. mpaka naona aibu wakati so mimi.
 
Wewe kinyago afadhali sasa umeamua kuandika kwa lugha ya Taifa. Kiingereza hukiwezi hata kidogo. Acha kujifanya mjuaji. Badala ya kuendela kutetea ujinga wako ni vyema ukatafakari ni wapi unapokosea. Hii itakusaidia hapo baadae.

Wonders will never end in this world, as I try to plant a seed of hope, a fool like you destroys it, but the fact that am determined to sparkle change, I hope to still walk through that road. I am not afraid of tsunami but am afraid of seeing a state of ignorance. So Mr. RUNGU be smart and wise at the same time, for the world is no more of a place of barbarism and savages like you. The world we are living in is a world of smart and wise men.
 
Haisaidii. Hata nyani anajua Kiingereza zaidi yako. Ni vizuri ukaelewa hivyo.
 
Yaah...ni kweli ni hatari nami nakubali...mtu anayeweza kuchukua posho ya 300k na kususia kikao, huyo ni hatari.
 

Bado reward waliyoipata kupitia wabunge hairidhish kitu kinachoonesha kwa upande wa waananchi kuna jambo haliko sawa. Cjui hata bungeni itakuwaje sababu kama mh ataendelea na kasi hii manake serikali itakuwa inapeleka bungeni miswada yenye tija na iliyochambuliwa hivyo wapinzan pamoja na washabiki watakuwa hawana kazi
 

Kwa kusema chama tawala hakitafanya kosa tena, sidhani ndugu mana sasa bado changamoto zipo tena zenye uzito wa hali ya juu. Kwa mfano katiba na tume huru. Hv ndio shida kuu ya mtanzania kwa kwl. Bado upinzani una paswa kuendelea na utakoma zaidi ya hapa tulipo.

Mm naomba ni seme hv duniani kote there has never been a perfect system but there are good and reasonable systems, and that's my belief. Na pia hakuna serekali iliyo timia hususani serekali nyingi za Afrika. Kwa haya machache niliyo sema tukiachana na itikadi za vyama, nadhani tunaweza kubaliana juu ya hili.
 
Ndugu toxic, unataka kujua mm ni wa wapi wakati jina langu ni dhairi la watu toka Rungwe- Mwakareli pande za Tukuyu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ