Waswahili kwa mabobish, nani aliwaambia hii ni lugha yetu. Akija mzungu akichapia kiswahili mtamwambia anajuaaaa vizuuuriiiii.
Acheni hizo
Mpaka hapo ni wazi kwamba unajitutumua. Ni afadhali tu uandike kwa lugha yetu pendwa ya Kiswahili.
1) Your English is very poor.
2) The way you arbitrarily and randomly introduce ideas, and what you think are new concepts, shows that you have yet to complete your A-level literature!
NB: NI RAHISI MNO KUPIMA ELIMU YA MTU ANAYETAMBA NA KIINGEREZA UCHWARA! HEBU ENDELEA KUWATAMBIA KWENYE CHOBIS ZA GONGO UNAPOENDAGA UMEBEBELEA LIKAMUSI KUBWA LA SWAHILI-ENGLISH!
Unajua kwa kasi yote hii ya Magufuli ni kwa sababu ya upinzani? Na mambo yote haya anayofanya magufuli ni results za opposition. Kwa kwl opposition inastahili pongezi kwa kufanya mfalme mjinga kupata maarifa.
Mm nasema bila upinzani basi hakuna new ideas kama the ones that are in power have all hope to exist in the next few years again. Lakini kwa kwl bado tunahitaji mambo kuwa vizuri na makini kama ideas za upinzani. Na diriki tena kusema CCM haina jipya, ni mwendo wa kukopi na kupaste ideas za wapinzani.
Anyway its for the interest ya nchi hii. Sasa Lowasa pamoja na umoja wa vyama vyoa ni philosophy ambayo watu makini itadumu kwa maisha mana sasa its too early to judge kuwa tumepata mfanyikio.
Itapofika kwenye kutengeneza katiba hapo ndio itakua shuhuli pevu, ngoja uone how stupid MPs of CCM are. They support what they don't know and sign what they don't even read thoroughly before approval. But also, they can't even write a paragraph of 20 lines to explain about themselves. This is shameful.
With oppositions, chama tawala kitatia akili tu. Na kwa progress ambayo upinzani wamefikia bs, ni dhairi kuwa sasa upinzani umekomaa na upo vzr.
If you are living in the 22 century then it's you who don't know what's happening in the real world which is going through the 21st century! Stop frothing please or you will tire those correcting your mistakes!Am not the enemy here, do you even know what's happening in the real world or you are just a fool in the 22 century? And do you know the principles of writing any language or you're just arguing cause you want to argue on reality to make it look wrong? Anyway try your best to beat me but you ain't even close.
If you are living in the 22 century then it's you who don't know what's happening in the real world which is going through the 21st century! Stop frothing please or you will tire those correcting your mistakes!
Mpaka hapo ni wazi kwamba unajitutumua. Ni afadhali tu uandike kwa lugha yetu pendwa ya Kiswahili.
Ha ha ha ha, upuuzi mtupu.Kama na wewe ni Mwalimu nenda kaombe kazi ya kufundisha Mh Maufunguo mapombe.
swissme
Katika watu wenye Kiingereza kibovu hapa JF wewe ni mmojawapo. Jaribu kujisahihisha na sio kujitetea.Anyway a wise man once said arguing with a fool makes you a fool to, so I guess I need to check on who I argue with and what I argue about.
Mpaka hapo ni wazi kwamba unajitutumua. Ni afadhali tu uandike kwa lugha yetu pendwa ya Kiswahili.
hayo tu yananitosha kujua we ni wa namna gani.Am not the enemy here, do you even know what's happening in the real world or you are just a fool in the 21century? And do you know the principles of writing any language or you're just arguing cause you want to argue on reality to make it look wrong? Anyway try your best to beat me but you ain't even close.
Katika watu wenye Kiingereza kibovu hapa JF wewe ni mmojawapo. Jaribu kujisahihisha na sio kujitetea.
hayo tu yananitosha kujua we ni wa namna gani.
just a small piece of advice: punguza u-much know!!
Endelea kujitutumua na hicho kiinglish chako. Wewe ni kichekesho.I bet you even qualify arguing with a brilliant mind like mine, anyways just a piece of advice, break the ice and speak about something better, if you have no, then find something constructive to do...
Upinzani ni muhimu lakini pia Magufuli binafsi ana kasi kwenye utendaji. Upinzani ulikuwepo hata kwa Kikwete na kama mnakumbuka kura za mwaka 2000 aliporomoka mno lkn wapi? mara escrow, uzembe n.k