Upinzani nchini umekosa uelekeo kabisa

ukata wa fedha, sera na mikakati mibovu isiyo na tija ya kuwaunganisha wanachama wao imekua ni chanzo cha kuzorota kwa hamasa katika harakati zao mitandaoni na mtaani.

maandamano yamekosa mvuto kabisa, chaguzi za ndani ya vyama vya kisiasa hata haijulikani zipo, zimeisha au bado zinaendelea....

madai na malalamiko ya upinzani kuhusu mathalani, katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na ugumu wa maisha yamezoeleka sana na waTanzania walio wengi hawajavutiwa na hoja hizo. Uelewa na ufahamu wa waTanzania ni mkubwa na kwamba bidii katika kufanya kazi ni msingi wa kuondokana na ugumu wa maisha na sio stori na porojo au vinginevyo..

Na kazi nzuri sana na kubwa mno inayofanywa na serikali chini ya DR Samia Suluhu Hassan, katika kushughulika na mambo hayo imeleta pumzi, ishara, matumaini na matarajio mapya kwa wanainchi..

Hali hiyo imefanya uelekeo wa pamoja upinzani kua shakani. Na sasa hivi hawakosoani tena kupitia vikao vya ndani, bali majukwaa ya kisiasa ndio platform ya kuelezana mistakes na blunders za nyuma na za sasa, za kisiasa ndani ya vyama....

kuna hatari ya upinzani kubomoka na kusambaratika zaidi endapo ungwana, hekima na busara, miongoni mwao hasa viongozi wa andamizi isipochukua nafasi yake, tunapoelekea chaguzi zijazo...

Tz Requires Vibrant Opposition 🐒
Kwa Taarifa yako chawa ni CHADEMA pekee wanafanya mikutano kwa Sasa , akina Nchimbi hata hawajulikani wapo wapi?
 
kwahiyo matahalani,
makamu mwenyekiti Taifa wa chadema, anaposema chama chake hakina fedha, lakini fedha nyingi binafsi zinatumika kwenye uchaguzi wa ndani ya chama chake, je ulihitaji statistics? au ni mihemko unakutesa hovyo hovyo tu...

umri au elimu ya nini kwenye jambo hili dogo tu lakini unapanic na kuropoka :BASED:
Anayeropoka ni yule anaongea bila evidences kwenye bandiko lako uliongea mambo mengi yanayohitaji statistics mfno maandamano.
 
Kwa Taarifa yako chawa ni CHADEMA pekee wanafanya mikutano kwa Sasa , akina Nchimbi hata hawajulikani wapo wapi?
nimezungumzia upinzani katika ujumla wake, kama chadema wanafanya mikutano huenda wao wana fedha kiasi licha ya mwandamizi moja wa chadema kuweka wazi kwamba wana ukata ndani ya chama, halafu anashangaa kule kwenye uchaguzi wa ndani mipesa ya maana inatumika kushawishi wajumbe kuchagua wenye fedha :whatBlink:
 
Anayeropoka ni yule anaongea bila evidences kwenye bandiko lako uliongea mambo mengi yanayohitaji statistics mfno maandamano.
statics gani sasa za maandamano unataka,
wakati ni obvious dhahiri shahiri hayana athari zozote politically speaking:DisGonBGud:
 
ukata wa fedha, sera na mikakati mibovu isiyo na tija ya kuwaunganisha wanachama wao imekua ni chanzo cha kuzorota kwa hamasa katika harakati zao mitandaoni na mtaani.

maandamano yamekosa mvuto kabisa, chaguzi za ndani ya vyama vya kisiasa hata haijulikani zipo, zimeisha au bado zinaendelea....

madai na malalamiko ya upinzani kuhusu mathalani, katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na ugumu wa maisha yamezoeleka sana na waTanzania walio wengi hawajavutiwa na hoja hizo. Uelewa na ufahamu wa waTanzania ni mkubwa na kwamba bidii katika kufanya kazi ni msingi wa kuondokana na ugumu wa maisha na sio stori na porojo au vinginevyo..

Na kazi nzuri sana na kubwa mno inayofanywa na serikali chini ya DR Samia Suluhu Hassan, katika kushughulika na mambo hayo imeleta pumzi, ishara, matumaini na matarajio mapya kwa wanainchi..

Hali hiyo imefanya uelekeo wa pamoja upinzani kua shakani. Na sasa hivi hawakosoani tena kupitia vikao vya ndani, bali majukwaa ya kisiasa ndio platform ya kuelezana mistakes na blunders za nyuma na za sasa, za kisiasa ndani ya vyama....

kuna hatari ya upinzani kubomoka na kusambaratika zaidi endapo ungwana, hekima na busara, miongoni mwao hasa viongozi wa andamizi isipochukua nafasi yake, tunapoelekea chaguzi zijazo...

Tz Requires Vibrant Opposition 🐒
That's your perception ndio imekupelekea utafsiri hivyo lakini on the ground mambo ni tofauti kabisa. Kaa na mwanaccm mwenzako umpe ujumbe huu uliouleta hapa Kama hajakuzaba kibao na kukutusi. Ccm vichwa vinauma sasa hivi na Wana paracetamol mfukoni halafu wewe unaleta propaganda za kisoviet hapa!
Usisahau, ukweli haufichiki ni Kama Nuru katikati ya Giza. Endelea kujizima data ilihali wakati haupo upande wako!
 
statics gani sasa za maandamano unataka,
wakati ni obvious dhahiri shahiri hayana athari zozote politically speaking:DisGonBGud:
Be a critical thinker Kama una jeuri hiyo ili ujiongoze kufikiri vyema. Duniani kila jambo lina athari zake huenda positive or negative, unalijua Hilo? Usiidanganye nafsi yako dogo utakuja kusutwa! Huyajui maandamano wewe.
 
maskini dah :pedroP: :pedroP:
 
Back
Top Bottom