CCM IMESHINDA GOLI LA MKONO TAYARI?
Wakati upinzani ukiwa unajihami katika siasa za majukwaani chama tawala kimejihami katika mikakati ya goli la mkono. Vyanzo vimenyetisha kuw a kwa sasa ccm inaandikisha upya watu kadi yao ya uanachama, namba za kitambulisho cha mpiga kura BVR nakisha mtu anasaini NCHI NZIMA malengo ni kama ifuatavyo:-
1.Kuwapigia kura watu ili ukienda ukute umekwisha kupiga kura na upewe fomu ya malalamiko ujaze na siku hiyo si sikuya mahakama hivyo utalalamika lakini hauna sehemu ya kupeleka malalamishi. Pia watu wengi watakamatwa na polisi kwa kupiga kura mara mbili ili watakaokuja na kukuta wamekwishakupiga kura waogope na waondoke
2.Kuwanunua wapiga kura endapo wataona mazingira ya mpango ( a) yamekuwa magumu lakini mbinu hii si tegemezi sana kwa sababu wanaamini kuwa bado wapinzani hawajui vizuri mfumo huu wa BVR hivyo watatumia njia ya kujipigia kura.
3.Kujua wapiga kura wa chama na namna ya kuwapa vipaumbele katika kupiga kura. Pia kuwekea zengwe watu wa upinzani kwa kuwa wanaamini kuwa kura hao ni hasara kwa CCM
Upinzani mko majukwaaani CCM wako VITANI mtaani UPINZANI AMKA
CHANZO: NDUGU YANGU KIONGOZI CCM MKOA KIGOMA