technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,697
- 58,742
Umesema wewe sio Mimi!!JJ mnyika?
Mnyika unaweza kuota, hawezi kuondoka upinzani kwani unafki hana. Kulikua na tetesi kua ni NASSARI Lakini muda utasema.JJ mnyika?
...Mnyika unaweza kuota, hawezi kuondoka upinzani kwani unafki hana. Kulikua na tetesi kua ni NASSARI Lakini muda utasema.
Tena inachomaImauma xaaanaaaa
Haaaaah hayo umeyasema weweNassari
Bulaya.
Jibu ninayo mimi hapaCCM ni watata Sana kwenye mikakati kweli baada ya Program ya Lipumba kurudishwa CUF kushindwa sasa wamebadili gia angani !!
Kuna kijana mmoja mtiifu ndani ya vyama vya upinzani ndiye atakuwa kete ya mwisho kumaliza upinzani 2020 !!
Kijana huyo atafanya vile vile alivyofanya Dr slaa 2015 na kuacha mtikisiko mkubwa ndani ya upinzani!!
Kijana huyu machachari mbunge wa muhura wa pili kwenye jimbo sasa hivi yupo karibu sana na wananchi wake anafanya maendeleo!!
Kama ilivyokuwa Kwa Dr slaa alifanya makubwa katika jimbo la karatu na huyu sasa hivi ndivyo anavyofanya kwenye jimbo lake!!
Taarifa zinaenda mbali zaidi na kusema mbunge huyo kijana yeye hataondoka nchini bali atakachokifanya ni kusubiri uwaziri baada ya uchaguzi mwaka 2020!!
Atafatana na watu wengine ingawa wao hawatakuwa na mvuto kama alivyo yeye !!
Sitamtaja .........
Stay tuned..........
Taja.......Jibu ninayo mimi hapa
hivi kwa akili yako ndogo kati ya CCM na ukawa nani wapo imara yule jamaa uchwara kawakata pumzi CCM mpaka wenyewe ndani kwa ndani wanashindwa kupumua.CCM ni watata Sana kwenye mikakati kweli baada ya Program ya Lipumba kurudishwa CUF kushindwa sasa wamebadili gia angani !!
Kuna kijana mmoja mtiifu ndani ya vyama vya upinzani ndiye atakuwa kete ya mwisho kumaliza upinzani 2020 !!
Kijana huyo atafanya vile vile alivyofanya Dr slaa 2015 na kuacha mtikisiko mkubwa ndani ya upinzani!!
Kijana huyu machachari mbunge wa muhura wa pili kwenye jimbo sasa hivi yupo karibu sana na wananchi wake anafanya maendeleo!!
Kama ilivyokuwa Kwa Dr slaa alifanya makubwa katika jimbo la karatu na huyu sasa hivi ndivyo anavyofanya kwenye jimbo lake!!
Taarifa zinaenda mbali zaidi na kusema mbunge huyo kijana yeye hataondoka nchini bali atakachokifanya ni kusubiri uwaziri baada ya uchaguzi mwaka 2020!!
Atafatana na watu wengine ingawa wao hawatakuwa na mvuto kama alivyo yeye !!
Sitamtaja .........
Stay tuned..........
Ni vizuri akajitoa ili aishie hapohapo kwenye siasa.JJ mnyika?
Mmmmmh bado mapema mno kumtaja ila siku itasemaTaja.......