Kwa matukio machache yanatoa ishara mbaya kwa ustawi wa upinzani nchini
1. NCCR Mageuzi-sakata la kumfukuza uanachama kafulila. Hii ni sawa una jicho moja halafu unalitia mchanga. NCCR imekaa benchi mda mrefu bila kuwa na mbunge leo hii mpasuko huu wa kufukuzana ndio unaimalizia NCCR kbs.
2.CUF-Issue ya Hamad Rashid versus Seif Sharif Hamad. Nani asiyejua nguvu ya CUF ktk uchaguzi 1995,2000 na 2005? Ngangariiiiii,hakiiiiiiiiiii, sawasawaaaaa. Ledo hii chama hiki kimepoteza umaarufu wake. Badala wakae chini watafute namna ya kujenga chama wanatafuta namna gani wafukuzane.
3. CHADEMA-Bado hali shwari, ila itategemea watakavyo handle uchaguzi wao na issues za kina Shibuda,Zito etc.
Kwa ujumla upinzani hali si shwari hata kidogo hivyo ukuaji wa demokrasia upo shakani maana hii fukuza fukuza itatufanya tuwe na vyama 100 vya siasa.
Mods, toa hii takataka inajaza server tu. Threads zenye message hii zimeshatoka kibao huko nyuma. Naomba wanaJF wengine msijadili hii.
Kwa vile unatumia masaburi ndio maana huoni migogoro inayoitafuna CCM kuhusu kujivua magamba.
wakati mwingine upuuzi kama huu ndio unaidhalilisha jamii forum.Ukiwa mtumwa wa Nepi unaweza hata kutembea uchi bila kujijua[/QUOTE
Kwenye red,... inaweza kuonekana upuuzi lakini ukweli ni kwamba migogoro inayoendelea ktk vyama vikubwa vya upinzani haihitaji darubini kupima afya ya upinzani nchini. Hii fukuzaa fukuza uanachama inaua vyama. Angalia mf. CCM unadhani wanashindwa kuwakuza watu? Wanaogopa kuleta instability kwani unapomfukuza mmoja anaondoka na kundi lake. Nasisitiza viongozi wa upinzani kubadilika na kuelekeza nguvu zao ktk kukuza na kusaka wanachama na viti zaidi na sio kuvipunguza kwa kufukuzana
Mods, toa hii takataka inajaza server tu. Threads zenye message hii zimeshatoka kibao huko nyuma. Naomba wanaJF wengine msijadili hii.
kwani upinzani maana yake ninini?Kwani ni uongo kusema kwamba upinzani unakufa kifo cha taratibu lakini cha uhakika.
Naona siku ikipita bila kutaja hilo jina husikii raha kabisa!!Huyu jamaa ni Wifi yake Rejao. So msimshangae sana!